Rappers bora wa muda wote nchini Tanzania

Rappers bora wa muda wote nchini Tanzania

Yule alieimba baba swalehe yumo humo kwenye list? ananikosha sana
 
Mtayarishaji una bifu na afande sele nini au unataka kusema zile tuzo za hiphop alibebwa!!!

ha ha ha ha afande sele hip hop ile haitamblik yule kam mpoto mrisho wanachokiimba kinaeleweka ila mahadhi ya uimbaji wao haujukan, cuz hata beat za afande xele c za kihip hop labda ni bongo flava(nyimbo zenye asili ya Tz ambzo hazfanan na mahadhi ya nymbo zngne) unamtetea xana kwa mjombako nn
 
Muandishi ambaye umesikiliza rapers wa kizazi chako tu cha kuanzia 2010 usiseme rapers of all time utawakosea heshima.
kuna Vichwa vitatu viliimba msimamo kati ya vile lazima atoke raper of all times. Na ni wazi Prof mpaka leo kasimama. Lazima awe no 1. Huyu ni.baba wa mapinduzi wa hiphop na mziki wa kizazi kipya bongo.
 
Mkuu umenikosha 1 to 6!nakwambia hao ndo legendary wetu ila tu rekebisha mpangilio.Mchopanga ni mkali sana ila hawezi kuwa juu ya Sugu(Mbunge),halafu Solo Thang nakosa nimweke wapi hapo maana Homa ya Dunia na simu yangu ni balaa
 
Muandishi ambaye umesikiliza rapers wa kizazi chako tu cha kuanzia 2010 usiseme rapers of all time utawakosea heshima.
kuna Vichwa vitatu viliimba msimamo kati ya vile lazima atoke raper of all times. Na ni wazi Prof mpaka leo kasimama. Lazima awe no 1. Huyu ni.baba wa mapinduzi wa hiphop na mziki wa kizazi kipya bongo.

aaah wew nitake radhi pamoja na uzur wa pro. jay hana utunzi uliotukuka kuwapta hao wa juu yake kaka jay mo na fid q ni matatzo haf co kwamb hao ni et wa zama za miaka ya 2010! nan kakudanganya? we unawajua hao majembe yalyocmama top 10
hapo vzur??? huwenda wengne majina yao ndo kwnz unayackia leo ila hii list ipo kiualisia.....naangalia yup alkuw bora kiutunz

a
 
Hao watoto uliwaweka namba ambazo hawastahili 1 incredible, Hashim dogo cjui Rungwe kama huyu cjawah ata sikia ngoma yake wala akiongelewa popote. Zaiid mzee wa kucopy. Cliff Mitindo mbana pua wa hiphop..list mbovu cjawah kuona. Wea is Ngwear? Mwana FA?
 
ha ha ha dogo sasa hata uko mbona montana ni wakawaida tu! kule kuna kendrick kwa sasa ndo anaandka kwa zama hzi[/QUOTE

French Montana na Kendrick Lamar mbona mapula tu hao. sikiliza hawa sasa:-
YG
Lil reese
Fat trel
Chief keef
Fredo santana
Migos
Young dolph
Philthy rich
 
Back
Top Bottom