Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi

Once are snitch always are snitch..
Ni kweli mkuu....Kuna situation ukibabanishwa na police/mkono wa dola inabidi tu utoe taarifa kunusuru uhai wako....hapo unageuka snitch au 'informer' kwa kulazimishwa.
 
Ni kweli mkuu....Kuna situation ukibabanishwa na police/mkono wa dola inabidi tu utoe taarifa kunusuru uhai wako....hapo unageuka snitch au 'informer' kwa kulazimishwa.
Hatari sana hapo hamna namna
 
hako ka lil snupe ilikuaje kapgwa risasi katka umri mdogo kiasi hicho? Kias hata mpiga risasi alishindwa kabisa kukavumilia na kuchukulia tu kwamb kamemkosea sababu ya akili za kitoto!!? Dah
Hatari
 
Half a mil na Soulja Slim walikuwa na potential ya ku blow up
 
Gunna ni innocent na mpole pale YSL. Thug mistari ya hii track ilitumika mahakamani mwanasheria analaumiwa kutumia entertainment moments kwenye uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…