Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi

Kesi zao nyingi hawaziwekagi wazi kuendelea kuchora image ya mweusi kwa mweusi ila nyuma Kuna mkono wa serikali pia.
Black wengi ni wajinga hiyo serikali inaongezeka kiasi. Fat Joe ana kesi gani ya maajabu, Eminem ni solid rapper ana kesi gani tena mahusiano yake sio ya kubadilisha mademu na anajutia kuachana na mke wake.

Njoo kwa rappers wanaoibukia kama The Kid LAROI, Ian Dior au kwa huyu sijui rapper wa aina gani nisiyempenda Jack Harlow. Hawana kesi za kiwendawazimu. Sasa ndugu zetu weusi mara kafyatua risasi hewani, mara kapiga mtu, mara anamiliki silaha bila kibali na kuachia watu.
 
Lifestyle yao ndo inawapeleka huko
 
Hii ni worldwide ama? Ni rapper weusi?
Upana wa takwimu umeangalia kigezo gani?
 
πŸ“Œ Bankroll Fresh 2016, age 28 πŸ“Œ Chinx 2015, age 31 πŸ“Œ Doe B 2013, age 22 πŸ“Œ Slim Dunkin 2011, age 24 πŸ“Œ Huddy 6 2011, age 35 πŸ“Œ Nate Dogg 2011, age 41 πŸ“Œ Stack Bundles 2007, age 24 πŸ“Œ Pimp C 2007, age 33 πŸ“Œ Soulja Slim 2003, age 26 πŸ“Œ Mac Dre 2004, age 34 πŸ“Œ Camoflauge 2003, age 21 πŸ“Œ Bugz 1999, age 21 πŸ“Œ Tupac Shakur 1996, age 25 πŸ“Œ The Notorious B.I.G. 1997, age 24 πŸ“Œ Jam Master Jay 2002, age 37 πŸ“Œ Freaky Tah 1999, age 27 πŸ“Œ Proof 2006, age 32 πŸ“Œ Magnolia Shorty 2010, age 28 πŸ“Œ Lil Phat 2012, age 19 πŸ“Œ Speaker Knockerz 2014, age 19 πŸ“Œ Bankroll PJ 2015, age 20 πŸ“Œ Bankroll Gambino 2017, age 25 πŸ“Œ Jimmy Wopo 2018, age 21 πŸ“Œ Young Greatness 2018, age 34 πŸ“Œ XXXTentacion 2018, age 20 πŸ“Œ Nipsey Hussle 2019, age 33 πŸ“Œ Pop Smoke 2020, age 20 πŸ“Œ King Von 2020, age 26 πŸ“Œ FBG Duck 2020, age 26 πŸ“Œ Lil Loaded 2021, age 20 πŸ“Œ SpotemGottem 2021, age 19 πŸ“Œ Young Dolph 2021, age 36 πŸ“Œ DMX 2021, age 50 πŸ“Œ Lil Loaded 2021, age 20 πŸ“Œ Jim Jones 2022, age 45 πŸ“Œ Fredo Santana 2018, age 27 πŸ“Œ Lil Snupe 2013, age 18 πŸ“Œ Big L 1999, age 24 πŸ“Œ Big Hawk 2006, age 36 πŸ“Œ Magnolia Shorty 2010, age 28 πŸ“Œ VL Mike 2008, age 32 πŸ“Œ Lil Lonnie 2018, age 22 πŸ“Œ DJ Uncle Al 2001, age 32 πŸ“Œ JMJ 2002, age 37 πŸ“Œ YNW Melly 2022, age 23 πŸ“Œ Speaker Knockerz 2014, age 19
πŸ“Œ Big paybacc 2014, age 38 πŸ“Œ Bankroll fresh 2016, age 28 πŸ“Œ Kyyngg 2016, age 22 πŸ“Œ Shawty Lo 2016, age 40 πŸ“Œ Doe B 2013, age 22 πŸ“Œ Lil Jojo 2012, age 18 πŸ“Œ Lil Snupe 2013, age 18 πŸ“Œ Dex Osama 2015, age 26 πŸ“Œ Chinx 2015, age 31 πŸ“Œ Speaker Knockerz 2014, age 19 πŸ“Œ Lil Phat 2012, age 19 πŸ“Œ Slim Dunkin 2011, age 24 πŸ“Œ Bankroll PJ 2021, age 24 πŸ“Œ King Von 2020, age 26 πŸ“Œ Huey 2020, age 32 πŸ“Œ FBG Duck 2020, age 26 πŸ“Œ Lil Loaded 2021, age 20 πŸ“Œ MO3 2020, age 28 πŸ“Œ Marlo 2021, age 30 πŸ“Œ SpotemGottem 2021, age 19 πŸ“Œ Lil Durk's brother OTF DThang 2021, age 32 πŸ“Œ Pop Smoke's associate Mike Dee 2020, age 21 πŸ“Œ 9lokkNine's associate Hotboii's brother 2021, age 23 πŸ“Œ KTS Dre 2021, age 31 πŸ“Œ Nardo Wick's associate Cutty Banks 2021, age 20 πŸ“Œ King Von's associate Louie 2021, age 24 πŸ“Œ Lil Reese's associate Lil Jeff 2021, age 19 πŸ“Œ Lil Loaded's associate Savage Boosie 2021, age 20 πŸ“Œ MO3's associate Lil Lonnie 2021, age 22 πŸ“Œ Fredo Bang's associate Lit Yoshi 2021, age 21 πŸ“Œ Lil Nas X's father R.L. Stafford 2021, age 50 πŸ“Œ 42 Dugg's associate Marley G 2022, age 18 πŸ“Œ 600Breezy's associate Edai 600 2022, age 26 πŸ“Œ Quando Rondo's associate Lul Timm 2022, age 19 πŸ“Œ DDG's associate 2KBABY's cousin 2022, age 16 πŸ“Œ Fivio Foreign's associate Rich The Kid's brother 2022, age 27 πŸ“Œ TEC's associate Gee Money's brother 2022, age 28 πŸ“Œ Lil Baby's associate 42 Dugg's brother 2022, age 22 πŸ“Œ Polo G's associate Lil Moe 6Blocka 2022, age 20 πŸ“Œ Kodak Black's associate Jackboy's friend 2022, age 21 πŸ“Œ Lil Uzi Vert's associate Luv Is Rage's cousin 2022, age 25 πŸ“Œ YNW Melly's associate YNW Sakchaser 2022, age 19 πŸ“Œ Gunna's associate Lil Duke's brother 2022, age 28 πŸ“Œ Young Thug's associate T-Shyne 2022, age 27 πŸ“Œ Lil Tecca's associate Piru 2022, age
 
Vizuri kwa kujazia thread
 
Hao ndio wana sponsor mauaji kwa sababu za kibiashara.

Mtu kama pop smoke wakati anatoka tu ndio kauliwa. Ule msauti wake na style yake kama angeishi ishi muda mrefu lebo za washindani wa lebo yake zingepata shida sana sokoni
Acheni kusingizia label. Weusi wengi usela mavi ndio unawaponza. Mbona genre nyingine hawauwani kifala hivyo.
 
Eminem 2001 alishapewa miaka MIWILI ndani kwa kukutwa na Bunduki.
Na kesi ilikuwa alimwe miaka mitano ndani ila ndio vile sifa akapewa mwanasheria wake kwa Kumpa ushauri na majaji wakampunguzia adhabu hadi miaka MIWILI. πŸ˜‚
Mambo ya kufumaniana night clubs na mtu ambae hamjaachana.
 
Pull up on your block, then you hear gratataatataaa
 
Gunna ni innocent na mpole pale YSL. Thug mistari ya hii track ilitumika mahakamani mwanasheria analaumiwa kutumia entertainment moments kwenye uhalisiaView attachment 2536227
Hii ilisababisha mpaka ikaanzishwa kampeni ya protect black art na mimi nilisaini petition ya kupeleka muswada kwamba mahakamani lines za music zisitumike katika michakato ya uendeshaji kesi...

Gunna kweli ni innocent na ktk statement yake ya Plea deal akasema "mimi nilijiunga YSL kwa kuwa na intetion ya kusogeza mbele career yangu kwa kushirikiana na vijana wenzangu nikijua kuwa ni label sikujua kwamba ni gang''

Huyu nae wamemuweka kwenye group la masnitch eti kamsnitch Thug wakati hadi mdogo wake Thug alichukua plea deal na kutoa statement inayofanana na ya Gunna,one day tutasikia jambo baya kwa Gunna pia
 
Hii list yako inajumuisha na vifo vya kawaida, naona humo kuna
Nate Dogg huyu alikufa kwa ugonjwa, Huddy 6 kwa ajali
Pimp C kwa overdose
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa Jeffery ila najua ni mhuni na jambazi. Tatizo lake anataka kuwafurahisha machokoraa wenzie alioishi nao hood. Hata aliowabebelea YSL wengi kawatoa uko na ukitazama producers wake wengi ni Atlanta natives.

Gunna hana hatia kabisa tena mpole vile. Aliyeniuma zaidi ni Lil Keed alikufa ile wiki kina Thugger wanakamatwa na kwenye kesi hakuwepo. Bado lean na percocets zitawamaliza tena kina Future hao.

Snitch alikuwa 6ix9ine, we tangu lini mzaliwa wa New York akawa mhuni. Kalifungwa siku chache kakaropoka yote. Yani ni kama ukutane na Mzalamo wa Kijichi eti anajichanganya na wavuta bangi wa Unga limited utarajie awe kama wao, ukimbinya tu anayataja.
Gunna nina wasiwasi na usalama wake pia
 
Sijui kwanini Jef alikuwa na hii ego ya kutaka kuwafurahisha machokoraa wenzake aisee angetakiwa amute tu aendelee kula maisha yake taratibu tu na angeamua kubadilika angeweza,

Pale Atlanta hakuna mtu aliyekuwa mhuni kama Radric Delantic Davis( Gucci Mane) lakini huwezi amini alibadilika totally mpaka watu wakaeneza conspiracy theory ya kwamba jamaa ni Cloned tangu atoke jela maana zile violence zake za kupigana risasi studio akaziacha kabisa na akawa hajihusishi na gangs kabisa

Wasanii wengi wa Atlanta walikuwa kwenye gangs enzi hizo lakini walipokuwa wameacha kabisa tangu enzi za Kina TI,ANDRE 3000,big boi, mpk sasa kizazi cha kina Jef.kifo cha Lil keed hata mimi kiliniuma sana yaani

Gunna kwa sasa anatengwa sana kuanzia kwa wasanii wenzake wa Atlanta mpk na wengine huwezi amini hadi lil baby eti alimuunfollow Gunna instagram kwa sababu hizo na wakati lil baby na Gunna ni moja ya Duo tamu sana iliyowahi kutokea pale Atlanta ukiachana na Rae Sremmurd..

Pia nilishangaa hadi Lil Durk amemuunfollow jamaa wakati inajulikana wazi kwamba jamaa alikuwa anapambania rohi yake ni innocent asingeweza kubeba misalaba isiyomhusu ambayo hata haikuwah kumpa faida hata siku moja..Snitch wa Taifa anajulikana ni hako kajamaa ulikokataja kenye rainbow hairs anajitia mhuni wakati hajawahi hata kukaa jela wala kula shaba hata ya mguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…