Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi

Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi

Police wa kule wana watreat vibaya sana blacks, ila lifestyle yao na rekodi zao za uhalifu zinachangia hilo.....

Kuna kipindi Obama akiwa Rais alikiri magereza mengi US yamejaa blacks...japo alisema ni tatizo la kijamii zaidi.
Ata movie za black waga sinaonesha lifestyle yao
 
Police wa kule wana watreat vibaya sana blacks, ila lifestyle yao na rekodi zao za uhalifu zinachangia hilo.....

Kuna kipindi Obama akiwa Rais alikiri magereza mengi US yamejaa blacks...japo alisema ni tatizo la kijamii zaidi.
Ni kweli ila magenge mengi ya kiharifu nyuma Kuna Afande pia Sema ndio vile wanapaushiana rangi matukio Yao.
 
Mm waga ni mgumu sana kuzoeana na kujichanganya na watu ngoja ntajaribu kuwasogelea
Tena vijana wapuuzi wanasogea mpaka uzunguni nowadays.... sijui nani anawapa kibali shabash! Wapo mpaka Masaki, mbezi na mikocheni waguruguru hawa. Huku ndo napataga fursa ya kuzungumza nao na kupima level zao za utaahira
 
Alipigwa ila hakufa yupo hai nitaendelea kyamini hiyo molele japo huo nwaka anapigwa risasi nilikuwa kijana na qkili zangu tena shabiki wake nambaari one
Watu wamesibitisha alikufa
 
Tena vijana wapuuzi wanasogea mpaka uzunguni nowadays.... sijui nani anawapa kibali shabash! Wapo mpaka Masaki, mbezi na mikocheni waguruguru hawa. Huku ndo napataga fursa ya kuzungumza nao na kupima level zao za utaahira
Hatari sana ignorance ndo chazo kikubwa cha matokeo mengi ata waliosoma nao hamna kitu
 
Hao ndio wana sponsor mauaji kwa sababu za kibiashara.

Mtu kama pop smoke wakati anatoka tu ndio kauliwa. Ule msauti wake na style yake kama angeishi ishi muda mrefu lebo za washindani wa lebo yake zingepata shida sana sokon.
Aisee Pop smoke angekuwa moto mzee Dior.Mzee wa Wait...Hold...Make laugh....Slow down.Nilidownload mixtape yake Woo 2 wiki inayo fuata home robber waka mkill.Ila maisha ya ulaya watu wanaanza kushika hela umri mdogo ila bongo dah watu wamesoma lakin ugumu wa life uko pale pale bac tu..
 
Back
Top Bottom