Rashford kwishaa. Wazungu ni watu wabaya sana

Ohoo! Asubirie kesi ya udharirishaji na kudaiwa fidia
 
Inaonekana Mikumbwtio Kumi ana wa stress/bull sana vijana wake. Majority hawana furaha haswa alio wakuta kama classmate wangu Harry Maguire Shemndolwa.
 

Chizi Maarifa kumbe kuna muda dishi linashika uchizi unapotea.
 
Kwani Trashford kaanza lini kushuka kiwango? Matter of fact hajawahi kuwa above average, it was all hype for one season.

Mtu afanye ujinga afu watu wamtetee?

Wewe ukiacha kwenda kubeba box (no pun intended) kwa starehe zako, unataka boss wako akuchekee tu?
 
Rashford overrated player hamna sticker mule
 
Mimi nasubiri wadenish watakavyomfanya Maghayo siku wakimkamata na hashish😎 Mzukah!
 
Acha upumbavu kwa hiyo Mane kumpiga Sane unaona sio kosa?
 
Ila huo ni utoto sana
Unalewa tequilas mpaka saa 9 ya usiku
Kuna mengine tunajitakia tu
Kama kaonewa sawa ila paparazzi wa huku wanasaka habari za moto na ukweli ili wauze magazeti sio sisi mwandishi wa habari kakaa ofisini anasubiri aambiwe Bus limeacha njia huku 😄
 
Bora tuendelee kuonewa na kunyanyaswa hadi tutakapoanza kujitambua na kujithamini...

Tuna kila kitu, tuanze kujenga kwetu. hayo yote yatatufuata kama ambavyo wanamfuata mwarabu sasa
 
Kuna mwamba mmoja huwa anapost mapesa Mengi na magari ya kifahari ni floyd mayweather aisee wanamlia rada tu siku akiingia Kati ...kitaelewaka ni kumfilisi tu
 
Tahadhari, ukiwa na wazungu achana na uswahili wa kudanganya danganya bora useme ukweli wako uombe radhi kwani wakigundua umedanganya umekwisha.
 
Rashford hana uhusiano na Pemba ana asili ya Carribean America huko.
 
Inasemekana alikuwa anamgombeza Rashford kwa kucheat na binti mwengine kwenye club kwa kukiss mbele yake huyo binti alimmaind Rashford kwa kumkosea heshima na rashford kumuambia unajua mimi ni nani?
Sasa vyombo vya habar vimekomaa.
Source Inasemekana.
 
Mbona Manara mweupe lakini ni bingwa wa kudeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…