Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

Chid Benz anatushangaa tunavyo mshangaa! !!!kupanga ni kuchagua.
 
Mbona kama sio yeye? Nahisi mnataka kumchafua tu. Bado nitakuwa wa mwisho kuamini hii.
 
1483165831167.jpg
 
kipindi kile baada ya kumfanyia fujo Ray C, nakumbuka na nilimsikia kwa masikio yangu akiwa Clouds FM radio, kipindi cha XXL walikuwa wanamsaidia kumsafisha kwenye jamii kwamba hatumii haya madawa, ikafikia hatua hata wale watangazaji wakawa design kama wana condemn ray c kumfuatilia jamaa na kumzushia haya maneno kwamba anabwia unga hhuku wakijua fika kwamba jamaa ni teja, kwanini hao watu nao wasichukue jukumu la kumsaidia kumsafisha kimwili na kiakili ikiwezekana kiroho kama walivyomsafisha kwamba hatumii madawa?simply nao wako katika kundi hilo hilo na utumiaji wa madawa ya kulevya, hii stage aliyofikia chid tusubirie tuu kufa kwake kwa overdose, au kuuliwa na raia kwa wizi, ama kulawitiwa ili apewe madawa
 
unga haujaribiwi hata kidogo...hao wauzaji tuu wanaishia kuwa wateja kwa kutest test kila wanapopata mzigo...ni dili yenye laana ndani yake na mtumiaji ikikupata ndio madhara yake hayo..
 
Kuna watu wanaua wauza unga nyie mnawashangaa.

China muuza unga anapigwa risasi ya kichwa hadharani na ma afisa wa polisi kama maonyesho ya kutuma message kwa wengine.

Haya raisi wa ufilipino yeyeana ghost squad kwa ajiri ya kubinya kimya kimya wauzaji wa haya maunga.tunamshangaa pia kwanini anafanya hivi.

Indonesia nao kama china, unapigwa risasi ufe tu.

Kifupi sijaona kama kweli tumeamua kukataa haya madude, serikali au taifa kwa ujumla.
Huyo wa Uphilipino nasikia anaua kuanzia watumiaji(addicts) mapusha na madrug dealers
 
Huyu akamatwe akafungwe Morogoro milimani huko ni baridi hakuna gari Wala baiskel
 
kipindi kile baada ya kumfanyia fujo Ray C, nakumbuka na nilimsikia kwa masikio yangu akiwa Clouds FM radio, kipindi cha XXL walikuwa wanamsaidia kumsafisha kwenye jamii kwamba hatumii haya madawa, ikafikia hatua hata wale watangazaji wakawa design kama wana condemn ray c kumfuatilia jamaa na kumzushia haya maneno kwamba anabwia unga hhuku wakijua fika kwamba jamaa ni teja, kwanini hao watu nao wasichukue jukumu la kumsaidia kumsafisha kimwili na kiakili ikiwezekana kiroho kama walivyomsafisha kwamba hatumii madawa?simply nao wako katika kundi hilo hilo na utumiaji wa madawa ya kulevya, hii stage aliyofikia chid tusubirie tuu kufa kwake kwa overdose, au kuuliwa na raia kwa wizi, ama kulawitiwa ili apewe madawa
Jana nimewasikia SHILAWADU wanamkakati wa kumsaidia wameanza na kutoshare ile picha yk wanadai ni kumdhihaki
 
Mitaani kuna fununua hawa hawa wasaniii ndo wanatumiwa kuYa safirisha zamu Yao na wao kuona wanacho safirisha kinaumiza kiasi gan ndugu zetu ....
 
Back
Top Bottom