Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Bila shaka nyie ni maProf.wa Kiswahili.

Kwani Kiswahili ulipata ngapi mdogo wangu? Wastani wa Ufaulu wa Kiswahili Tanzania unaufahamu pamoja na kuwa Kiswahili ni lugha (sio kabila) tena inayotumiwa zaidi katika nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara? Je ulimaanisha nini ulipowataja wahusika kuwa " maProf.wa Kiswahili"? Na ina uhusiano gani na mjadala wa Katiba hii? Tutakupima kwa majibu yako!
 
Wanaoshabikia na kuikubali CCM ni maadui wa Demokrasia na Watanzania.
 
thanks kwa rasimu... nimeipenda sura moja tuuu na nahisi inatakiwa kuanza kutekelezwa mapema ili kuokoa muskatabali wa Jamii.. sura ya 6 inayoelezea muundo wa Jamhuri ya muungano... nahisi hapa serikali ya tanganyika imepewa hadhi ya kusimamia majukumu yake yasiyo ya kimuungano... wanajamii wengi watakuwa wameridhishwa na hili (kilio kikuu cha Jamii forum)... hope soon kutakuwa na wakina warioba wengine wakiandaa rasimu ya katiba ya Tanganyika kama ilivyo ya jamhuri ya watu wa zanzibar!!!Ukawa na wanaharakati wengine tuonjepo basi hata ka shampeni ka togwa kwa ibara hii!
 
Kwakweli ukawa walikosea sana kuondoka ktk bunge la katiba, badala yake wangeshindana kwa hoja na maoni hapo wananchi wangewaelewa sana, kwani Kwa muda ule kama nikupotea kwa kodi zetu zilishapotea sana.
 
Kwani Kiswahili ulipata ngapi mdogo wangu? Wastani wa Ufaulu wa Kiswahili Tanzania unaufahamu pamoja na kuwa Kiswahili ni lugha (sio kabila) tena inayotumiwa zaidi katika nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara? Je ulimaanisha nini ulipowataja wahusika kuwa " maProf.wa Kiswahili"? Na ina uhusiano gani na mjadala wa Katiba hii? Tutakupima kwa majibu yako!
Nilipata B,..Soma vizuri wanavyokosoana kuhusu ''Soft Copy'' utajua namaaninsha nini...Prof.unatakiwa uwe beyond others' thinking capacity otherwise utapoteza hicho cheo.
 
Nilipata B,..Soma vizuri wanavyokosoana kuhusu ''Soft Copy'' utajua namaaninsha nini...Prof.unatakiwa uwe beyond others' thinking capacity otherwise utapoteza hicho cheo.

Hahahaaaa asante umenifurahisha nitalinda heshima... hope siku nyingine tuta-argue tukiwa na Avarture genuine, yangu halisi Invisible anaifahamu maana huwa najitahidi kuchangia JF... tufanye hivyo sote kuidumisha JF... pamoja sana
 
Last edited by a moderator:
Ngoja tujijuzee, then wakati watu wanoatoa hoja, tufanye unyambulisho yakinifu. Prof. Asante kwa kuiweka hapa, sasa ni kazi kwetu. Natoa wito wanajamii tuisome, tuipitie kipengele kwa kipengele, ili tujue tunavyoongozwa, na miiko ya uongozi, pamoja na haki zetu. Cha msingi siyo kuipinga, bali ni kuirekebesha pale tunapoona hapatufai, tutaweza kufanya hivyo kwa kutoa hoja za kuijenga Tanzania na wala si kwa kugoma, ama kuikataa.

Kwa mtazamo wangu ni kwamba, tayari gharama kubwa imeshatumika, hatuwezi kuita tena Bunge Maalumu, bali ni kufanya marekebisho zile sura ambazo hazijakaa sawasawa.

Nawakilisha
 
Haiwezi kupigwa tena chini kilichobaki ni kura za ndio.
 
tuangalie mambo y mcng kwn hili la katba kw xx tena lisiwe chanzo cha kuvuruga aman y taifa letu teule.Kwn wanasiasa wapo kw masilahi yao kw ujumla na co kumkomboa mtanzania kutoka kwenye mambo yanayomkabil kw ujumla !
 
Katiba inayopendekezwa Safiiiiiiii...wote tuache majungu tuipokee tuisome then tuipe kura ya ndio
 
Back
Top Bottom