Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo muhimu kwa taifa letu kwanza ni kukuataa viongozi wategemezi maana hao wanauza nchi nataka nikuambie wewe myanzania Tanzania kwa sasa si huru tena maana tunatawaliwa na ndio maana budget yetu inategemee wageni vijana wasomi wapo ajira hazipatikani maana wawekezaji wanakuja na watu wao nakusingizia watanzania hawawezi nini umuhimu wa kuwa na vyuo vyingi visivyo toa fursa ya kuajiriwa sielewi wanasiasa wa taifa hili yaani wameshikilia sana swala la serikali tatu na mbili ktk rasimu mpaka wanasahau kero za wananchi. Mie nataka serikali moja kama haiwezekani basi haina haja ya kuwa tunaburuzwa hasa watanganyika tulio wengi wajumbe wa kuteuliwa zanzibar na bara nusu nusu sensa wako milioni moja na nusu si haki kabisa lazima tubadilike viongozi tuthamini kilimo, uvuvi, ufugaji na kuhusu maswala ya madini na gesi watanzania bora uwekezaji huu uachwe kwanza maana vijana wanamaliza maswala ya madini hawapati nafasi kwenye sekta hizo inaumiza kuona wageni ndio wengi kwenye sekta hizo na hata ulipaji wa mishahara inaonea sana wazawa tunaipeleka wapi tanzania.
Hatimaye hii hapa wadau! Jisomeeni.
Mbona inagoma kufunguka au haitaki kufunguka kwa kutumia cm