Thomas Sankra Jr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 418
- 128
shida ipo lakini kwenye sehemu zao ni majanga eti wabunge wae mawaziri, pia wananchi hatuna nguvu ya kumwajibisha mbunge tulio mchagua na hakuna ukomo wa kugombea wala elimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba inayopendekezwa Safiiiiiiii...wote tuache majungu tuipokee tuisome then tuipe kura ya ndio
It is like nice food cooked in a toilet
Jamaa walitaka matumizi ya pombe aina ya "gongo" yaruhusiwe na katiba, sasa imeshindikana ndo maana wanaingia mitaani kuipinga, kisa GONGO HAIJARUHUSIWA NA KATIBA kama babu yao alivyowahaidi!
Tofauti kubwa iko katika Muungano na muundo wa serikali na katika kuwawajibisha viongozi. Kama ni msomi mzuri hukurupuki kushabikia wanaoipinga ila utapinga kwa kuchambua kwa makini tofauti kuu na vinavyopunguza ubora. Kuna maswala ambayo katiba inayopendekezwa imefanya vizuri. Yusiwe kama CVM na CHADEMA ambao wanakurupuka kulinda maslahi yao bila kujali yanayopendekezwa!
Sisi tunauelewa kuliko unavyofikilia wewe! Katiba mpya ni ile yenye maoni ya wananchi na kwa hali ilivyo kwa sasa serikali tatu, mbunge kutokuwa waziri, mbunge kuwa na ukomo, na wananchi kuwawajibisha viongozi ndicho tunachokitaka.
Hapa uko wazi zaidi na unaeleweka... hizi ndio hoja zako... ila uneona wengine wanavyosema? Usisahau waliodsi na kuanzisha mchakato huu sio wananchi... tulikuja kushirikishwa tu na hsya ndio matokeo...