Mmmh! Hii haitaki majibu ya haraka haraka. Inahitaji kutulia na kubungua bongo. Lakini Sitta is out of question. Ila wale wengine sasa. Kwani kama ni shirikisho ni lazima wakubalike Bara na Visiwani. Hivi Lowassa alishachangia miskiti na makanisa kule Zenji?Haswaaa mkuu yani hapo ndo patakuwa patamu!swali la kizush,hivi Lowassa atagombea uraisi wa wapi iwapo hii ikipita,Tanganyika ama Muungano?na kina sitta je?
wameongeza mzigo wa wabunge wanawake. inamaana hakutakua tena na mchuano kati ya wanaume na wanawake? kwa nini hao wanawake wasiwawekee nafasi za mikoa badala ya jimbo? tutakuwa na wabunge zaidi ya 600, gharama zimepungua? aafu mbona mambo ya rais kuteua bado yapo? kuna utofauti gani na katiba ya sasa? ikitokea rais mwingine kama jk asiyesikiliza ushauri wa tume na kuteua hawara zake tutakuwa tumeepuka nini?maadili yetu utawala na uongozi yameorodheshwa. tume inapendekeza
1. maadili ya viongozi, miiko na kiundwe chombo cha kusimamia maadili ya uongozi. secretariate ya maadili ibadilishwe iwe tume ya maadili inayo jitegemea. mia
*viti maalum vimeondolewa, wabunge mwisho kugombea miaka 15 na hakutakua na uchaguzi mdogo. spika na naibu spika wasiwe wabunge wala viongozi wa siasa. mia
*viongozi wa kisiasa na asasi za kiraia hawatakua na sifa ya kuwa katika tume ya uchaguzi. mia
*serikali ya shirikisho, serikali ya tanzania bara na serikali ya tanzania visiwani. mia
Mbwembwe tu, kutokana na hotuba ya Waryoba sijaona mambo ambayo yanawezakututia matumaini Watanzania.
Bila utekelezaji wa yaliyomo ndani ya katiba hata kama tukiipamba namna gani bado itabaki kuwa uchafu tu!
Msingi mzuri wa katiba nzuri ni kuwa na viongozi waadilifu na wenye uchungu na nchi, na wenye hisia za dhati kabisa ya kuleta maendeleo ya kiuchumi,kijamii, na kisiasa! Kuna matokeo mengi tu ya Tume nyingi tu na yaliyobeba ushauri mwingi na bora kwa serikali, lakini vinaozea maktaba za serikali!
:shock:It is just the beginning of wonders...!:shock:
I like that waekeeni vibali lakini zanzibar iwe freee thats all we want brooo. tumechoka kutawaliwa we need freedom nothing us.Sijaona yale masharti 10 yako ya Maalim uliyokuwa unapigia chapuo jana!
Wakati tutakapokuwa tunaandaa katiba yetu ya Tanganyika (mind you hii rasimu ni ya Muungano na siyo ya Tanganyika au Zanzibar) tutapiga marufuku wapemba kufanya kazi huku bila kibali maalumu!na sie kidogo tuwe wabaguzi kama nyie once upon a time...
Hapa ndipo na mimi ninaona kama bado kuna matatizo makubwa sana. Tunatakiwa kuwa kamini sana.Rais bado hajaguswa,kuendelea kuwa mfalme
tunatakaa zanzibar huruuu sio kupangiwa njooo zanzibar nakualika majirani zangu wote ni wandengereko i grow up with them idont call them watanganyika najua wao ni wazanzibar kma mimi. tunatakaaa zanzibar yetuuuuuuuu. hatusikii kitu wala hatutishikiii tena we had enough .I like that waekeeni vibali lakini zanzibar iwe freee thats all we want brooo. tumechoka kutawaliwa we need freedom nothing us.
Rasimu hii haijakidhi matakwa ya Watanzania. Ni ukweli usiopingika kuwa mchakato wa kukusanya na kuaandaa rasimu ulibakwa na walio madarakani. Zaidi ya mwaka mzima wanafanya kazi na kulipwa mamilioni ya shillingi harafu wanakuja na rasimu ambayo imewacha watanzania wakijiuliza lipi jipya hapa?
Japo kenya wamepata katiba mpya kwa kumwaga damu, katiba yao ilikidhi matakwa na mahitaji ya kenya kwa miaka 50 ijayo. Tanzania aibu tupu... katiba hii mpya haiwezi kutosegeza hata miaka 2 mbele. Inakuwaje rais apewe nafasi 5 za kuteua wabunge? Haki hii ni ya watanzania kuchagua na lengo ni kuondokana na vyeo hivi vya kuteuliwa. Mambo ya uraia katika nchi nyingi duniani yameandikwa ndani ya katiba kwa kuwa ndiyo sheria mama. Warioba vipi tena? Anasema eti itungwe sheria ya uraia? Hopeless guy and his team. Hatuna katiba mpya maana haiwezi kupita kwenye kura ya maoni, wameacha mianya mingi wakati watanzania walitoa maoni yao. Vipi kuhusu, TAKUKURU, CAG, AG, DPP, raslimali zetu, mambo haya yanatakiwa ya ainishwe kwenye katiba. Katiba isipo yatamka nani atayasimamia?
I'm very dissappointed in Warioba and his team. Wametuaibisha watanzania, kumbe nao wanafikiri kwa tumbo.
Wakuu,
Mchakato wa Kutengeneza Katiba yetu ya Tanganyika unaanaza lini??????
Cant wait to be not a Tanzanian Citezen, Rather, Citizen wa Tanganyika