Link 1.
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/100638-shirikisho-ndani-ya-shirikisho.html
Link 2.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/334649-tundu-lissu-na-kiinimacho-cha-muungano.html
Leo ni siku ambayo Jaji Warioba ameamua/amelazimika kuondoa usanii wa "Tanzania bara"/"wabara". Warioba anaondoka na ukiini macho wake. Tanganyika inasikika tena.
Leo ni siku mbaya kwa MJJ na Maalim Nguruvi3. Naomba mjizoeshe tena kuitaja "Tanganyika"
Wadanganyika tunabadili jina hili rasmi na kuchukua hadhi yetu,"Watanganyika"
Tanganyika Tanganyika, nakupenda kwa moyo wote.
Je shirikisho la Tanzania litatokana na majimbo mawili au nchi mbili?
Tanganyika na Zanzibar zitakuwa nchi ndani ya muungano au zitakuwa ni majimbo ya muungano?
Mizengo Pinda-"Zanzibar si nchi"
J: Kikwete " Zanzibar ni nchi ndani, sio nchi nje"
"Tanganyika ni nchi.Tanganyika si nchi ndani, ni nchi nje." - Rasimu ya Katiba mpya.