Muhumba wa Mukinyaa
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 683
- 1,251
Iyo 1 umeipeleka wapi achaga fikra za kijinga kijanaMTAALA WA ELIMU KAATIKA ALAMA YA MNYAMA
1+6+4+2+3+3 = 666
NAKAZIA hapo kwenye number 4...hizi ni lugha zisizo na faida Bora hat wafundishe kichina maana fursa nyingi za biashara ziko na wachinaElimu ya msingi hadi sekondari kuwepo soma la Madini, uvuvi , kama walivyoweka kilimo.
2. Rasimu ionyeshe combinations kwamasomo ya kidato cha tano na sita ili vyuo vikuu vianze kufuta kozi za hovyo walizonazo.
3. Somo la sayansi kwa elimu msingi ni somo jipya au lipo kwa sasa linafundishwa?
4. Somo la kiarabu na kifaransa yafutwe kwa elimu msingi.
Taarifa inaeleweka ILA hapo kwenye LUGHA ya kufundishia huku MSINGI sio sawa hata kidogo..kuanzia Awali hadi Chuo Kikuu ,lugha ya kufundishia iwe KIINGEREZA..Sisi tunaihitaji Dunia zaidi kuliko yenyewe inavyotuhitaji..Kiingereza ndio KISWAHILI cha dunia
Pili mnawasababishia watoto ugumu wafikapo SEKONDARI
Hebu Mheshimiwa Waziri acheni kutuchezea SHERE Watanzania ..Mbona ninyi watoto wenu wote(Mawaziri, Wabunge et al) wanasoma English Medium..KWANINI?
Hofu ya NINI ikiwa sasa tuna Waalimu wengi wanaojua KIINGEREZA na MIUNDOMBINU IPO
N.B
NINYI ENDELEENI KUCHEZA NA MAISHA YA WATANZANIA, HAKIKA LAANA YA MUNGU ITAWASHUKIA MAANA MNAFANYA KWA MAKUSUDI ILI HALI UKWELI MNAUFAHAMU
Mmeshaanza upotoshaji washirika wa pasta Paulo Mackenzie wa Kenya.MTAALA WA ELIMU KAATIKA ALAMA YA MNYAMA
1+6+4+2+3+3 = 666
Km hujui ukimya pia ni jibu, usinichoshe nisikuchoshe tusichoshane. Waachie wengine wenye kuelewa waweke hapa.Huyo warioba ni nani?
Ni jaji mstaafuHuyo warioba ni nani?
Google pdf yakeMembers yeyote mwenye Rasimu ya Mtaala wa Elimu na Rasimu ya Jatiba Mpya (ya Warioba).
Najaribu ku Google napata vipande vipande tuGoogle pdf yake
Ingia hapa https://www.tie.go.tz/Members yeyote mwenye Rasimu ya Mtaala wa Elimu na Rasimu ya Jatiba Mpya (ya Warioba).
ThanksIngia hapa https://www.tie.go.tz/
Lugha rasmi ziwe Kiswahili na Kiingereza; lugha za ziada daraja la pili ziwe ni French, Spanish; daraja la tatu ndio ziwe lugha zilizobaki na kubalansi waongeze Latin kwa ajili ya wakatoliki, na Hebrew kwa ajili ya walokole na wasabato kama ilivyo Arabic kwa waislamuView attachment 2616490
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda
Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na Vyo vya Ualimu zimekamilika, na sasa serikali imetoa rasimu hizo hadharani ili kupata maoni ya mwisho, na maoni hayo yawe yameshapokelewa kufikia tarehe 31/5/2023.
Akaongeza kuwa tarehe tarehe 10/5/2023 Wizara itafanya Semina na Wabunge kuwapitisha katika Rasimu hizo na tarehe 12/5/2023 mpaka 14/5/2023 kutakuwa na Kongamano Kubwa la Kitaifa la kujadili Rasimu hizo.
Rasimu hizo zinapatikanakatika Tovuti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, lakini pia katika tovuti ya Idara ya Habari na Maelezo pamoja na tovuti ya Taasisi ya Elimu Tanzania.
Kwa maelezo zaidi unaweza kusoma kimbatisho hapo chini.
View attachment 2616524View attachment 2616525View attachment 2616527
View attachment 2616528
View attachment 2616529
View attachment 2616530View attachment 2616531
Katila lugha hapo, ili kubalansi waongeze Latin (kilatini) kwa ajili ya wakatoliki, na Hebrew (kiyahudi/kiebrania) kwa ajili ya walokole na wasabato kama ilivyo Arabic kwa waislamu4. Somo la kiarabu na kifaransa yafutwe kwa elimu msingi.