Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,527
- 14,881
THANK YOU AZIZ KI
Hesabu za faida au hasara hazipigwagi hivyo ndugu yanguyanga walimnunua aziz ki kwa 400m wamemuuza kwa 2.6B net profit ya 2.2bilion
unakikumbuka kipindi cha sindano 5 za motoooo kilikuwa RFA miaka ya 2000Mwana ameona bora atimkie uarabuni akajipumzishe baada ya kuona Jangwani sindano zimekuwa nyingi.
kwamba mlikua hamumlipi mshahara amayanga walimnunua aziz ki kwa 400m wamemuuza kwa 2.6B net profit ya 2.2bilion
na ameifungia Yanga mabao mengi sana ya muhimu, hasa lile la Africaine, lile la tatu dhidi ya Simba (5-1) na lile la mamemlodi ambalo refa alimeza.yanga walimnunua aziz ki kwa 400m wamemuuza kwa 2.6B net profit ya 2.2bilion