Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,447
- 3,302
Kwamba tulikuwa hatupat hela kupitia yeyekwamba mlikua hamumlipi mshahara ama
Kwamba tulikuwa hatupat hela kupitia yeyekwamba mlikua hamumlipi mshahara ama
Washabiki wa tz rahisi sana kuwateka, hizo 2b umezisikia wapi wewe?yanga walimnunua aziz ki kwa 400m wamemuuza kwa 2.6B net profit ya 2.2bilion
Mchezaji bora kabisa kuvaa jezi ya Yanga miaka ya hivi karibuni, nitabaki kuwa shabiki yake mtiifu.
usiende siasa za mpira, mchezaji ni liability kwenye timuKwamba tulikuwa hatupat hela kupitia yeye
Si kasaidia timu kupata makombe, kasaidia tukaingia mpaka fainali CAF CC na robo fainali CAF CL huko kote vibunda vilikua vinasoma.kwamba mlikua hamumlipi mshahara ama
Kwanini timu bado zina exist miaka na miaka. Kuna wakati hasara ipo na kuna wakati faida pia ipousiende siasa za mpira, mchezaji ni liability kwenye timu
Una ushahidi wa kuthibitisha kwamba wydad wametoa b 2.6 kumsajili aziz 🤔 acha kudanganya watuyanga walimnunua aziz ki kwa 400m wamemuuza kwa 2.6B net profit ya 2.2bilion
Acha uzwazwa. Wamemlipa mshahara kiasi gani na benefits nyingine kwa kipindi chote cha mkataba. Wakati ana-renew mkataba alipewa kiasi gani cha pesa. Be realistic.yanga walimnunua aziz ki kwa 400m wamemuuza kwa 2.6B net profit ya 2.2bilion
yanga walimnunua aziz ki kwa 400m wamemuuza kwa 2.6B net profit ya 2.2bilion
Una uhakika wa hiyo bei aliyonunuliwa?yanga walimnunua aziz ki kwa 400m wamemuuza kwa 2.6B net profit ya 2.2bilion
Ila Mashabiki wa utopolo !yanga walimnunua aziz ki kwa 400m wamemuuza kwa 2.6B net profit ya 2.2bilion
Akili ya kitoto! Kwani alikuwa hatendi alokujia kutenda. Je, angeumia na kuondoka bila kuleta hela ungemdai?Jumlisha na gharama zote za kumuhudumia Ki akiwa Yanga ikiwemo moshahara yote + marupurupu na bonus...
Kama kutakuwa na faida basi si hizo namba ulizoandika...
Hata wewe mjinga tu kwa hayo mawazo.Ila Mashabiki wa utopolo !
Manara akisema wenye akili Yanga ni wawili tu (Ndiyo Mzee)
Manara akisema Mashabiki wote wa Yanga nguo zao za ndani zinanuka vinyesi(Ndiyo Mzee)
Hers akisema Yanga wote ni wala mihogo (Ndiyo Mzee)
Leo mnadanganywa Aziz ki kauzwa kwa 2b ( Ndiyo Mzee)
Kuna gharama za mshahara, posho na mengineyo lakini hata wao wachezaji huingiza pesa hasa mechi za kimataifa club inapofika hatua fulaniHesabu za faida au hasara hazipigwagi hivyo ndugu yangu
Huyu bado tunamdai maana huwa tukikutana nao huko mbele wanatuua maana wanatujua vizuri kama alivyotufanya Feitoto, inatakiwa tumwambie asije akatufunga hata siku moja!!Huyu hatumdai, all the best !