Rasmi Aziz Ki apewa mkono wa kwaheri Yanga

Rasmi Aziz Ki apewa mkono wa kwaheri Yanga

na ameifungia Yanga mabao mengi sana ya muhimu, hasa lile la Africaine, lile la tatu dhidi ya Simba (5-1) na lile la mamemlodi ambalo refa alimeza.

Mwulize mhasibu anasemaje.
Muda wa kukabiliana na changamoto zingine umefika.
 
Kwanini timu bado zina exist miaka na miaka. Kuna wakati hasara ipo na kuna wakati faida pia ipo
hakuna timu inapata faida yenye mashabiki wengi, utanunua wachezaji quality kwa ela ndefu na kombe ni bei ndogo kwa timu zetu izi uwanja unajaa mechi moja tu na bado huo uwanja sio wako, hakuna faida kwenye mpira watu wanawekeza kwa mapenzi tu
 
Akili ya kitoto! Kwani alikuwa hatendi alokujia kutenda. Je, angeumia na kuondoka bila kuleta hela ungemdai?

Wakati wenzako wanahangaika na Algebra 1&2, Calculus na Statistics, nadhani wewe ulikuwa busy kukariri kingdoms za kina Mwenemutapa, Ndongo ndio maana imekuwa ngumu kuelewa maelezo mepesi ya mapato na matumizi...
 
Kila la kheri master key, ila hapo kwenye bilioni 2.6 sidhani km kuna ukweli.
 
Wakati wenzako wanahangaika na Algebra 1&2, Calculus na Statistics, nadhani wewe ulikuwa busy kukariri kingdoms za kina Mwenemutapa, Ndongo ndio maana imekuwa ngumu kuelewa maelezo mepesi ya mapato na matumizi...
Ungejua wenzako tuna vyeti vya no class ahead vya majambo hayo! Huu ndiyo uzuri wa JF
 
hakuna timu inapata faida yenye mashabiki wengi, utanunua wachezaji quality kwa ela ndefu na kombe ni bei ndogo kwa timu zetu izi uwanja unajaa mechi moja tu na bado huo uwanja sio wako, hakuna faida kwenye mpira watu wanawekeza kwa mapenzi tu
Kama ni hivyo baasi tuwaache wenye mapenzi yao waendelee kutupa burudani.
 
Nasikia anaondoka naye, japo bibie atakuwa anarudi maana watoto na business zile…

Yaleyale ya Uwoya na Ndikumana.
IMG-20250525-WA0006.jpg
 
Fist half 2

Sec half 2

FT
Simba 4-0 Berkane

Baada ya kukabidhiwa ubingwa tutakua na tafrija karibuni sana utopolo vyuraz
 
Fist half 2

Sec half 2

FT
Simba 4-0 Berkane

Baada ya kukabidhiwa ubingwa tutakua na tafrija karibuni sana utopolo vyuraz
Kombe jipya hilo hongereni sana madunduka
 

Attachments

  • 20250525_181808.jpg
    20250525_181808.jpg
    178.2 KB · Views: 13
Back
Top Bottom