Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Anaondoka na mdogo wetu?? Au shemeji atakua tu anarudi kusalimia familia huku huku?Mchezaji bora kabisa kuvaa jezi ya Yanga miaka ya hivi karibuni, nitabaki kuwa shabiki yake mtiifu.
Thanks Aziz
Nasikia anaondoka naye, japo bibie atakuwa anarudi maana watoto na business zile…Anaondoka na mdogo wetu?? Au shemeji atakua tu anarudi kusalimia familia huku huku?
Muda wa kukabiliana na changamoto zingine umefika.na ameifungia Yanga mabao mengi sana ya muhimu, hasa lile la Africaine, lile la tatu dhidi ya Simba (5-1) na lile la mamemlodi ambalo refa alimeza.
Mwulize mhasibu anasemaje.
hakuna timu inapata faida yenye mashabiki wengi, utanunua wachezaji quality kwa ela ndefu na kombe ni bei ndogo kwa timu zetu izi uwanja unajaa mechi moja tu na bado huo uwanja sio wako, hakuna faida kwenye mpira watu wanawekeza kwa mapenzi tuKwanini timu bado zina exist miaka na miaka. Kuna wakati hasara ipo na kuna wakati faida pia ipo
Akili ya kitoto! Kwani alikuwa hatendi alokujia kutenda. Je, angeumia na kuondoka bila kuleta hela ungemdai?
Ungejua wenzako tuna vyeti vya no class ahead vya majambo hayo! Huu ndiyo uzuri wa JFWakati wenzako wanahangaika na Algebra 1&2, Calculus na Statistics, nadhani wewe ulikuwa busy kukariri kingdoms za kina Mwenemutapa, Ndongo ndio maana imekuwa ngumu kuelewa maelezo mepesi ya mapato na matumizi...
Kama ni hivyo baasi tuwaache wenye mapenzi yao waendelee kutupa burudani.hakuna timu inapata faida yenye mashabiki wengi, utanunua wachezaji quality kwa ela ndefu na kombe ni bei ndogo kwa timu zetu izi uwanja unajaa mechi moja tu na bado huo uwanja sio wako, hakuna faida kwenye mpira watu wanawekeza kwa mapenzi tu
Uongooooyanga walimnunua aziz ki kwa 400m wamemuuza kwa 2.6B net profit ya 2.2bilion
mbna linajulikana, hayo mahesabu mnafanya ya faida amnaga kitu kama ichoKama ni hivyo baasi tuwaache wenye mapenzi yao waendelee kutupa burudani.
Muhasibu OKW BOBAN SUNZU sema neno..yanga walimnunua aziz ki kwa 400m wamemuuza kwa 2.6B net profit ya 2.2bilion
Mkuu wewe amini unavyoamini. Mimi nitabaki na mtazamo wangumbna linajulikana, hayo mahesabu mnafanya ya faida amnaga kitu kama icho
Muhasibu wa mchongo, aje atuletee hasara iliyopatikana kumleta Aziz Yanga.
Mhasibu atapumzika kdg
Adui yenu ni Pacome na siyo Aziz.Bora aende ametusumbua sana huyu sisi Simba
Nasikia anaondoka naye, japo bibie atakuwa anarudi maana watoto na business zile…
Yaleyale ya Uwoya na Ndikumana.
We humjui K mzee weee hatari yule Baba hamisaAdui yenu ni Pacome na siyo Aziz.
issue sio kuamini issue ni uhalisia wa mamboMkuu wewe amini unavyoamini. Mimi nitabaki na mtazamo wangu
Kombe jipya hilo hongereni sana madundukaFist half 2
Sec half 2
FT
Simba 4-0 Berkane
Baada ya kukabidhiwa ubingwa tutakua na tafrija karibuni sana utopolo vyuraz