Rasmi Bunge la Ulaya lapokea ushahidi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania

Rasmi Bunge la Ulaya lapokea ushahidi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kamati ya Bunge la Ulaya ya haki za binadamu imepokea ushahidi kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania katika kikao maalum.

Soma: Mke wa Lissu abubujikwa machozi akitoa taarifa Kamati ya Haki za Binadamu EU

Ushahidi huo umetolewa na mke wa mwanasiasa wa upinzani Tundu Lissu, anayekabiliwa na kesi ya uhaini, pamoja na ndugu wa Humphrey Polepole, mwanasiasa wa CCM ambaye hajulikani alipo.

1782296210422.png
 
Kamati ya Bunge la Ulaya ya haki za binadamu imepokea ushahidi kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania katika kikao maalum.

Ushahidi huo umetolewa na mke wa mwanasiasa wa upinzani Tundu Lissu, anayekabiliwa na kesi ya uhaini, pamoja na ndugu wa Humphrey Polepole, mwanasiasa wa CCM ambaye hajulikani alipo.
Ushahidi wa vifo vya Gaza umepokelewa? Uliofanywa na Isreal
 
Ushahidi wa vifo vya Gaza umepokelewa? Uliofanywa na Isreal

Israel na Tanzania wapi na wapi? Israel ana nguvu kubwa na wamepenyeza katika nchi zote za Ulaya, kuliko hata wa ulaya.
Sasa unataka kusemaje? Tanzania sawa na Israel? Kwa lipi? Mbona kama tumeshasambaratika? Tunaenda enda tu bila mikakati wala mpangilio wa kueleweka?
Kwenye vita ya panzi, anayeneemeka ni kunguru.....usisahau hilo.
 
Kwahiyo zamani walikuja wakawanyonga Babu zetu na kupora rasilimali zetu hawakujua kuwa Kuna haki za binadamu
Ila Leo hii ndio wanajua haki za binadamu?

Ndio maana hawa jama wanatuona wajinga Kila siku
 
Back
Top Bottom