Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ushahidi wa vifo vya Gaza umepokelewa? Uliofanywa na IsrealKamati ya Bunge la Ulaya ya haki za binadamu imepokea ushahidi kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania katika kikao maalum.
Ushahidi huo umetolewa na mke wa mwanasiasa wa upinzani Tundu Lissu, anayekabiliwa na kesi ya uhaini, pamoja na ndugu wa Humphrey Polepole, mwanasiasa wa CCM ambaye hajulikani alipo.
Tukiwapa dhahabu tu hawa. Yaani kuja kuchimba, ngoma imeishaKidogo kidogoooo...! Tunaelekea tunakotakiwa kuelekea. Sio inakotupeleka ccm
Wewe wahi kumalizia dozi yako vinginevyo utaanza kula majalalani sikumsi nyingi, malaria ikifika kwenye ubongo ndiyo tayari umekuwa sakala.Ushahidi wa vifo vya Gaza umepokelewa? Uliofanywa na Isreal
Ushahidi wa vifo vya Gaza umepokelewa? Uliofanywa na Isreal
Juma lokole wa jamiiforum umeishia darasa la ngapiUshahidi wa vifo vya Gaza umepokelewa? Uliofanywa na Isreal
Kwa maana kuwa watu wanauliwa ili dhahabu zetu tena zitumike kwa ajili ya kuwapa watu wengine kama rushwa?Tukiwapa dhahabu tu hawa. Yaani kuja kuchimba, ngoma imeisha
Sisi huku Kaliua hili swali linatuhusu nini?Ushahidi wa vifo vya Gaza umepokelewa? Uliofanywa na Isreal
Ahahaaaa....! Mkiwahonga dhahabu tu imeisha?. Wamegundua udhaifu wenu. Dhahabu zenu watachukua na kibano kipo pale paleTukiwapa dhahabu tu hawa. Yaani kuja kuchimba, ngoma imeisha
Ushahidi wa vifo vya Gaza umepokelewa? Uliofanywa na Isreal
Jifunze kumuua kunguni aliye maungoni mwako kwanza kabla ya kumuua aliyepo kwa jirani yako.Ushahidi wa vifo vya Gaza umepokelewa? Uliofanywa na Isreal
Ushahidi wa vifo vya Gaza umepokelewa? Uliofanywa na Isreal
Kwani umezuiwa kuuwasilisha huko?Ushahidi wa vifo vya Gaza umepokelewa? Uliofanywa na Isreal
Waache Gaza wahangaike na yao...Ushahidi wa vifo vya Gaza umepokelewa? Uliofanywa na Isreal