Rasmi Bunge la Ulaya lapokea ushahidi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania

kwamba mke wa huyo kibaraka ndie alikua field?
au anawasilisha zile script na porojo za mchongo za mkalenjini larry madow wa cnn?
 
Ah hizi habr tushazizoea. Watajadili wee mpk 2030
 
Kwahiyo zamani walikuja wakawanyonga Babu zetu na kupora rasilimali zetu hawakujua kuwa Kuna haki za binadamu
Ila Leo hii ndio wanajua haki za binadamu?

Ndio maana hawa jama wanatuona wajinga Kila siku
Mambo yamebadilika
 
Hata hivyo, ni muhimu kutofautisha kati ya:
1. Kupokea ushahidi au madai kutoka kwa wanaharakati, mashirika ya kiraia na wadau mbalimbali;
Na
2. kuthibitisha rasmi ukweli wa madai hayo kupitia uchunguzi huru wa kisheria.
 
I hope wote waliotekwa au kuuliwa kama kina mdude, mzee kibao etc majina yao na picha zao ziwasilishwe bunge la ulaya, CCM watuambie wako wapi
 
Usiseme Polepole hajulikani alipo, sema aliyeuliwa na serikali.
 
Hahaha kumbe ule ushahidi unasema?
 
Mungu wabariki Wazungu
 
I once said ni swala la mda tu. Ccm hata kama sio sasa ila lazima mtu aje kukutana na kitu kizito. Acha niendelee kunywa nyago kabla hamjapandisha bei.
 
Jifunze kumuua kunguni aliye maungoni mwako kwanza kabla ya kumuua aliyepo kwa jirani yako.
Mpaka uwasemee Gaza kwamba unaguswa sana kuliko waliopo jirani?
Waarabu na waislam kwake ndiyo watu.

Wengine anaona takataka , wakifa anafanya sherehe kuona takataka zimeondolewa mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…