Pre GE2025 Rasmi: CHADEMA imepevuka kustahili kupewa dola

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe amesusa shughuli zote za chama. Wafadhili na wadhamini watoa hela wamesusa kuchangia pesa za kuendesha chama wakisema hawamuamini Lissu na genge lake. Kaitisha vikao na vikao watu wamesusa ndio maana mpaka leo hajaongea chochote kwa wanachama wake. Leo eti wapewe dola.

Bado tunaukumbuka wosia wa Baba wa Taifa aliposema nanukuu, "I can't let my country go to the dogs"! Mwisho wa kunukuu.
 
Ha ha ha ha Tundu Lissu kabaki kajikunyata....

Nimependa NUKUU yako !

#JMT kwanza kabla ya roho na nafsi zetu!
 
Hata huoni aibu!

Viewers tu wa Mkutano wa Lissu kwenye media zilizorusha live zilikuwa si chini ya watu 3000 kila mtandao.

Fuatilia mikutano wa CCM unaorushwa live ukizidi viewers 150 njoo nikupe hela chizi wewe.
 
Stephen Masatu Wassira
Anawaza Na Dollar Yake Watapenyaje
Tanzania Wajinga Wanaelimishwa
 
Hata huoni aibu!

Viewers tu wa Mkutano wa Lissu kwenye media zilizorusha live zilikuwa si chini ya watu 3000 kila mtandao.

Fuatilia mikutano wa CCM unaorushwa live ukizidi viewers 150 njoo nikupe hela chizi wewe.
Ahahahahaha! Viewers 30000 na kuja hapa unaloloma? Ahahahahaha!!!
 
Kweli kabisa. Utadhani ni chama tawala jinsi kilivyo na watu wenye akili.
 
Changiani ...hii kazi ni kubwa inahitaji wote tushikane..mguu kwa mguu, mkono kwa mkono..
 
Kwenu kufa ndio kupevuka? Umemsikiliza mwenyekiti wako hotuba imejaa vioja badala ya hoja.
 
You could be sick!!

Mna akili za kitoto sana chini ya huyo mhuni Samia sasa analala usingizi wa pono 😂
 
You could be sick!!

Mna akili za kitoto sana chini ya huyo mhuni Samia sasa analala usingizi wa pono 😂
Mwambie aendelee kulala usingizi wa pono. Hii movement inaenda kuwapa elimu kabambe hadi watumishi wa vyombo vya dola ambao ndo nguzo yenu. Wakiamka hawa tu ndo kwisha habari yenu.
 
Lissu anataka michango yenu tu, hizo nyingine ni porojo. Changia kaka kikoba chenu.
Fund raising ndo chanzo kikuu cha mapato ya vyama vya siasa dunia nzima.

Tatizo akili zenu zimeshadumazwa na hao CCM wanaotumiq kodi zenu na mali zao kwa faida zao.
 
Dola siyo Kama sambusa za mama asumani
 
Kuna watanzania na mtanzania ......hivyo wewe kama mtanzania unaweza ongozwa na chadema...sisi kama watanzania hatuwezi ongozwa na chadema sio uchaguzi wa mwenyekiti huu!
Watanzania vichwa maji kama wewe Wazee wa ndioooo hamuwezi waelewa CDM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…