Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #61
Nakionea huruma sana kizazi chako. Bora mzazi wako anguacha chooni tu.Hujitambui wewe....
Dola si "shumizi" ya kuvaa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakionea huruma sana kizazi chako. Bora mzazi wako anguacha chooni tu.Hujitambui wewe....
Dola si "shumizi" ya kuvaa....
Voda 0744 44-69-69 itatoa jina chadema HQ
Sawa.Natuma mchango soon.Voda M-Pesa
0744 446969
Jina CHADEMA QH
Mkuu ni kweli wacha kwanza waludishe wabunge walio poteza na diwan hao pia watahitaji kujijenga kuwa imara ukomavu wa kifikra, maono na kupembua viongoz ambao wataweza kuwa mawaziri viongozi wa taasisi kubwa za ulinz na usalama
Ndio tunaweza kuwa n RAIS lissu anatosha lkn wakufanya nao kaz kina nondo na wenje na wengineo kaliba hii nchi haiwez kwenda hata.
Hivyo kwanza tunahitaji kwenda kwennye bunge shindan lenye nguvu ya uwiano mfano SOUTH AFRICA MKUU

Kweli kabisaTanzania ina mamilioni ya wazalendo ambao wana uwezo mkubwa sana wa kiuongozi, sema mfumo wa "kichawa" na "mtumikie kafiri..." wa CCM hawauwezi.
Kuna watanzania mamilioni wenye uwezo wa kuwa wabunge wazuri, madiwani wazuri, mawaziri wazuri, watendaji wazuri wa mashirika na taasisi za umma, ilimradi tu pawe na mfumo mzuri utakaowawezesha kuonyesha uwezo wao.
Na hapo ndio umuhimu wa kuwa na kiongozi mkuu wa nchi kama Lissu unaonekana.
Lissu anaweza kuongoza katika kubadilisha mfumo huu wa hovyo wa utumishi wa umma wa uchawa, na kuleta mfumo wa uwezo wa kiutendaji.
Hii nchi ni ya Watanzania wote, no matter CCM,ACT, UPDP,PONA,TADEA e.t.c.
Kuna shida gani ukitafuta huo mkutano? Offer ya dola 500 imeshawekwa wazi hapa.Ahahahahaha! Eti nitakupa Dola mia tano. Ahahahahaha!
Watoto wako wanasoma shule za Sekondari za Kata halafu unipe Mimi Dola mia tano? Ahahahahaha!!!
Wewe ni nani ukionee huruma kizazi changu....acha upwagu wa mentalities Koko.....Nakionea huruma sana kizazi chako. Bora mzazi wako anguacha chooni tu.