Pre GE2025 Rasmi: CHADEMA imepevuka kustahili kupewa dola

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Fund raising ndo chanzo kikuu cha mapato ya vyama vya siasa dunia nzima.

Tatizo akili zenu zimeshadumazwa na hao CCM wanaotumiq kodi zenu na mali zao kwa faida zao.
Achana na huyo bwege akiibiwa billion akapewa million basi anarukaruka kama chizi huku akisifu zidumu fikra za mwenyekiti 🤣🤣🤣
 
Hiki Chama ama kweli kimenivutia.

Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania.

Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki unapaswa kuwa kupitia uchaguzi wao wa Viongozi. Sasa Watanzania wote tunajua namna uchaguzi huru na haki unapaswa kuendeshwa.

Sasa wanawaonesha Watanzania namna gani siasa za nchi zinapaswa kuendeshwa.

Tangu Lissu amechaguliwa kushika uongozi wa Chama hatuoni tena siasa za kijinga. Tunaona siasa zilizoenda shule, siasa zinazoendana na Wakati.

Nimevutiwa sana na organizesheni na hotuba ya Mwenyekiti Lissu leo. Lissu ametoa hotuba murua ambayo kila mtanzania amemwelewa. Amechambua vizuri wanamaanisha nini wanaposema bila reforms hakuna uchaguzi na kusema kweli ameelezea vizuri na kueleweka vizuri sana namna mfumo wetu wa uchaguzi na katiba unavyotumiwa vibaya na chama cha mapinduzi.

Nimwevutiwa sana pia na namna walivyoanzisha mjadala kwa kuwaita wataalam kuchambua hotuba ya Mwenyekiti wao. Mjadala umehusisha wabobezi kweli ambao wanachambua vizuri kweli na kueleweka vizuri.

kusema. Kweli hivi ndo namna Chama cha Siasa Makini knapaswa kufanya siasa zake. Hivi ndo namna Chama kinachopaswa kushika dola kinapaswa kujiendesha.

Hongereni sana Chadema. Sasa mmekuwa na kupevuka na kustahili kupewa nchi na dola.

Naiona Tanzania njema na nzuri sana chini ya Chadema.

Kwa namna hii hotuba ya Mwenyekiti ilivyokuwa well organised leo alafu ukilinganisha na CCM wanavyolundika wasanii wasio la akili na machawa kwenye mikutano yao ndipo una amini tunaongozwa na wajinga Tanzania(CCM)

Mungu akazidi kuwabariki

Lord Denning
Dubai
Yule tapeli mangi alituchelewesha sana. Mkisonga mbele hatua 10, anawarudisha nyuma hatua 7. Shenzi sana yule.
 
Fund raising ndo chanzo kikuu cha mapato ya vyama vya siasa dunia nzima.
Hakika.

Leteni pia hiyo namba huku Jf ili na sisi tulio mbali na mtandao wa twitter tukichangie hiki chama chetu kilichobeba matumaini makubwa ya watanzania cha chadema.
 
Dunia inabadilika....
Trump ametufundisha kuwa hataki wajomba nje ya nchi yake....nasi Tanzania hatuna wajomba nje ya nchi yetu.....

Demokrasia ni zao la mitazamo ya siasa ya watu husika.... Tanzania tuna mitazamo yetu...

US wameshavurugwa na sera zao mpya....EU na Brussels marafiki wa Tundu Lissu nao "hamkani hali si shwari na 25% tarrifs"....

Chadema wakae kwa kutulia....huko nje wajomba wamebadilika.....
Tundu Lissu asimtegemee tena ROBERT AMSTERDAM....wafadhili wanapunguza mpunga kwake.....

Uchaguzi upo na hiyo "no reform no elections" haikisi MALENGO yetu kama taifa huru lenye sovereignty ya kujivunia......

#Uchaguzi upo!
#Watanzania kwa umoja wetu hatuyumbishwi na makuwadi wa mabeberu!
Mbona mm ni mtanzania na sipo kwenye huo umoja wenu? Acha uzwazwa bro, jisemee mwenyewe!
 
Hiki Chama ama kweli kimenivutia.

Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania.

Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki unapaswa kuwa kupitia uchaguzi wao wa Viongozi. Sasa Watanzania wote tunajua namna uchaguzi huru na haki unapaswa kuendeshwa.

Sasa wanawaonesha Watanzania namna gani siasa za nchi zinapaswa kuendeshwa.

Tangu Lissu amechaguliwa kushika uongozi wa Chama hatuoni tena siasa za kijinga. Tunaona siasa zilizoenda shule, siasa zinazoendana na Wakati.

Nimevutiwa sana na organizesheni na hotuba ya Mwenyekiti Lissu leo. Lissu ametoa hotuba murua ambayo kila mtanzania amemwelewa. Amechambua vizuri wanamaanisha nini wanaposema bila reforms hakuna uchaguzi na kusema kweli ameelezea vizuri na kueleweka vizuri sana namna mfumo wetu wa uchaguzi na katiba unavyotumiwa vibaya na chama cha mapinduzi.

Nimwevutiwa sana pia na namna walivyoanzisha mjadala kwa kuwaita wataalam kuchambua hotuba ya Mwenyekiti wao. Mjadala umehusisha wabobezi kweli ambao wanachambua vizuri kweli na kueleweka vizuri.

kusema. Kweli hivi ndo namna Chama cha Siasa Makini knapaswa kufanya siasa zake. Hivi ndo namna Chama kinachopaswa kushika dola kinapaswa kujiendesha.

Hongereni sana Chadema. Sasa mmekuwa na kupevuka na kustahili kupewa nchi na dola.

Naiona Tanzania njema na nzuri sana chini ya Chadema.

Kwa namna hii hotuba ya Mwenyekiti ilivyokuwa well organised leo alafu ukilinganisha na CCM wanavyolundika wasanii wasio la akili na machawa kwenye mikutano yao ndipo una amini tunaongozwa na wajinga Tanzania(CCM)

Mungu akazidi kuwabariki

Lord Denning
Dubai
Kule mbogamboga kazi kumtembeza kale kababu kanakotembea na pampaz hakuna anachoongea akaeleweka ilimradi posho imeingia tu
 
Hakika.

Leteni pia hiyo namba huku Jf ili na sisi tulio mbali na mtandao wa twitter tukichangie hiki chama chetu kilichobeba matumaini makubwa ya watanzania cha chadema.
Voda 0744 44-69-69 itatoa jina chadema HQ
 
Mwambie aendelee kulala usingizi wa pono. Hii movement inaenda kuwapa elimu kabambe hadi watumishi wa vyombo vya dola ambao ndo nguzo yenu. Wakiamka hawa tu ndo kwisha habari yenu.
Mna utoto sana!!
 
Hiki Chama ama kweli kimenivutia.

Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania.

Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki unapaswa kuwa kupitia uchaguzi wao wa Viongozi. Sasa Watanzania wote tunajua namna uchaguzi huru na haki unapaswa kuendeshwa.

Sasa wanawaonesha Watanzania namna gani siasa za nchi zinapaswa kuendeshwa.

Tangu Lissu amechaguliwa kushika uongozi wa Chama hatuoni tena siasa za kijinga. Tunaona siasa zilizoenda shule, siasa zinazoendana na Wakati.

Nimevutiwa sana na organizesheni na hotuba ya Mwenyekiti Lissu leo. Lissu ametoa hotuba murua ambayo kila mtanzania amemwelewa. Amechambua vizuri wanamaanisha nini wanaposema bila reforms hakuna uchaguzi na kusema kweli ameelezea vizuri na kueleweka vizuri sana namna mfumo wetu wa uchaguzi na katiba unavyotumiwa vibaya na chama cha mapinduzi.

Nimwevutiwa sana pia na namna walivyoanzisha mjadala kwa kuwaita wataalam kuchambua hotuba ya Mwenyekiti wao. Mjadala umehusisha wabobezi kweli ambao wanachambua vizuri kweli na kueleweka vizuri.

kusema. Kweli hivi ndo namna Chama cha Siasa Makini knapaswa kufanya siasa zake. Hivi ndo namna Chama kinachopaswa kushika dola kinapaswa kujiendesha.

Hongereni sana Chadema. Sasa mmekuwa na kupevuka na kustahili kupewa nchi na dola.

Naiona Tanzania njema na nzuri sana chini ya Chadema.

Kwa namna hii hotuba ya Mwenyekiti ilivyokuwa well organised leo alafu ukilinganisha na CCM wanavyolundika wasanii wasio la akili na machawa kwenye mikutano yao ndipo una amini tunaongozwa na wajinga Tanzania(CCM)

Mungu akazidi kuwabariki

Lord Denning
Dubai
Yes,
kwakweli kwenye suala la kuombaomba kuchangiwa pocket money na pesa za kuendesha chama,

script iliandaliwa vizuri ila kibaraka alizunguka sana kueleza pumba tupu kabla ya kuomba kuchangiwa pesa :pedroP:
 
Mkuu upo na soda yako nitalipa boss wangu ,

Mungu akawe juu yako mkuu
 
Yes,
kwakweli kwenye suala la kuombaomba kuchangiwa pocket money na pesa za kuendesha chama,

script iliandaliwa vizuri ila kibaraka alizunguka sana kueleza pumba tupu kabla ya kuomba kuchangiwa pesa :pedroP:
Kibaraka anakwenda kuanguka.....wahisani wa Ubelgiji na Ujerumani wanawazia "25% tax tariffs ya Trump"....

Nje ya nchi hatuna WAJOMBA....

#Nchi na taifa kwanza kabla ya pumzi zetu !!
 
Hakika.

Leteni pia hiyo namba huku Jf ili na sisi tulio mbali na mtandao wa twitter tukichangie hiki chama chetu kilichobeba matumaini makubwa ya watanzania cha chadema.
Voda M-Pesa
0744 446969

Jina CHADEMA HQ
 
Back
Top Bottom