Pre GE2025 Rasmi: CHADEMA imepevuka kustahili kupewa dola

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Fund raising ndo chanzo kikuu cha mapato ya vyama vya siasa dunia nzima.

Tatizo akili zenu zimeshadumazwa na hao CCM wanaotumiq kodi zenu na mali zao kwa faida zao.
Achana na huyo bwege akiibiwa billion akapewa million basi anarukaruka kama chizi huku akisifu zidumu fikra za mwenyekiti 🤣🤣🤣
 
Yule tapeli mangi alituchelewesha sana. Mkisonga mbele hatua 10, anawarudisha nyuma hatua 7. Shenzi sana yule.
 
Fund raising ndo chanzo kikuu cha mapato ya vyama vya siasa dunia nzima.
Hakika.

Leteni pia hiyo namba huku Jf ili na sisi tulio mbali na mtandao wa twitter tukichangie hiki chama chetu kilichobeba matumaini makubwa ya watanzania cha chadema.
 
Mbona mm ni mtanzania na sipo kwenye huo umoja wenu? Acha uzwazwa bro, jisemee mwenyewe!
 
Kule mbogamboga kazi kumtembeza kale kababu kanakotembea na pampaz hakuna anachoongea akaeleweka ilimradi posho imeingia tu
 
Hakika.

Leteni pia hiyo namba huku Jf ili na sisi tulio mbali na mtandao wa twitter tukichangie hiki chama chetu kilichobeba matumaini makubwa ya watanzania cha chadema.
Voda 0744 44-69-69 itatoa jina chadema HQ
 
Mwambie aendelee kulala usingizi wa pono. Hii movement inaenda kuwapa elimu kabambe hadi watumishi wa vyombo vya dola ambao ndo nguzo yenu. Wakiamka hawa tu ndo kwisha habari yenu.
Mna utoto sana!!
 
Yes,
kwakweli kwenye suala la kuombaomba kuchangiwa pocket money na pesa za kuendesha chama,

script iliandaliwa vizuri ila kibaraka alizunguka sana kueleza pumba tupu kabla ya kuomba kuchangiwa pesa
 
Mkuu upo na soda yako nitalipa boss wangu , Mungu akawe juu yako mkuu
 
Yes,
kwakweli kwenye suala la kuombaomba kuchangiwa pocket money na pesa za kuendesha chama,

script iliandaliwa vizuri ila kibaraka alizunguka sana kueleza pumba tupu kabla ya kuomba kuchangiwa pesa
Kibaraka anakwenda kuanguka.....wahisani wa Ubelgiji na Ujerumani wanawazia "25% tax tariffs ya Trump"....

Nje ya nchi hatuna WAJOMBA....

#Nchi na taifa kwanza kabla ya pumzi zetu !!
 
Hakika.

Leteni pia hiyo namba huku Jf ili na sisi tulio mbali na mtandao wa twitter tukichangie hiki chama chetu kilichobeba matumaini makubwa ya watanzania cha chadema.
Voda M-Pesa
0744 446969

Jina CHADEMA HQ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…