Rasmi Diamond aiwasilisha Komasava kwenye tuzo za Grammy. Tutatoboa?

Je atatoboa bila didy kuona yaliyomo..!
 
Atashinda hiyo tuzo sababu alishawahi kwenda kuangalia movie kwa P Diddy.
 
Ni vizuri kupambana na hao wakali wa kipopo, win or loose anakuwa amepambana at least. Kuogopa kupambana isn't an option.
 
Hao washindani wake uliowataja wamewasilisha nyimbo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…