ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Kufanyiwa au kutofanyiwa hakuna aliethibitisha zaidi ya porojo za mitandaoni zinazoletwa na wivu wa kuachwa mbali kimaendeleoMkuu sizani kama kuna mtu aliyekamilika atamuonea wivu mtu aliyefanyiwa upididy, labda uwe mwanaume ambaye hujakamilika au mwanamke malaya tu
Tufanye kafanyiwa halafu pia kutokana na kufanyiwa huko ameniacha kimaendeleo.Kufanyiwa au kutofanyiwa hakuna aliethibitisha zaidi ya porojo za mitandaoni zinazoletwa na wivu wa kuachwa mbali kimaendeleo
Humu ndani kuna katabia kameibukaMkuu hawa nigggaz pamoja kwamba wanasema mambo Kama hayo
Hawa jamaa wanapambana Diamond anatoa vyuma Sana
Mimi sio shabaki wa muziki wa Tz Ila huyu Dangote chibu simba atakuja kuleta Grammy
Wivu wa kuachwa mbali kimaendeleo? Mo dewji una wivu naye kwa sababu kakuacha?Kufanyiwa au kutofanyiwa hakuna aliethibitisha zaidi ya porojo za mitandaoni zinazoletwa na wivu wa kuachwa mbali kimaendeleo
Inaonesha wewe ndio unapenda hiyo michezo na unaongea kwa chuki binafsi maana kama nimafanikio diamond ameanza kupata ni muda Mrefu kabisa akiwa hapa hapa bongo na ndio msanii ambaye amekuwa ni balozi wa makampuni makubwa mengiTufanye kafanyiwa halafu pia kutokana na kufanyiwa huko ameniacha kimaendeleo.
Sasa ni hivi wewe fara siwezi kumuonea wivu mwanaume anayepata fedha kwa njia ya kufirwa na mwanaume mwenzake ni bora niendelee kuwa maskini kulipo kuuzalilisha utu wangu
Kawaukize wanaccm wenzake.WCB wametangaza kuwa Diamond amewasilisha wimbo wa Komasava kuwania Tuzo za Grammy mwaka kesho.
Komasava imewasilishwa katika vipengele vya Best Music Video na Best African Music Performance.
Mnadhani atashinda mbele ya Burna Boy, Wizkid na magwiji wengine?
View attachment 3121644
Ni wivu kwasababu mnaongea vitu ambavyo havina uhalisiaWivu wa kuachwa mbali kimaendeleo? Mo dewji una wivu naye kwa sababu kakuacha
Tuanze na wewe unamuonea Wivu Bakhresa? Uswahili unaongoza fikra zenu kudhania wivu, uchawi, roho mbaya zinatawala mind zenu.Ni wivu kwasababu mnaongea vitu ambavyo havina uhalisia
Usiseme jamii yake sema wavivu, wazembe,wambea,wenye chuki,wenye hiyo michezo kama wewe ndio mnafanya suala Pdidy iwe agenda kufurahisha mioyo yenu mtu ambaye hana interest na hiyo michezo huwezi kukuta anashadidiya wala kuliongelea
Unamuonea wivu kwa sababu ya itikadi zenu za vyama but lazima ujue jamaa analipwa vizuri sana na CCM lazima awapigie kampeniTuanze na wewe unamuonea Wivu Bakhresa? Uswahili unaongoza fikra zenu kudhania wivu, uchawi, roho mbaya zinatawala mind zenu.
Mkuu huko sasa unazidi kujidhalilisha.Unamuonea wivu kwa sababu ya itikadi zenu za vyama but lazima ujue jamaa analipwa vizuri sana na CCM lazima awapigie kampeni
Unaumia ni wewe sio mimi hivi umewahi kuona nimemzungumzia mtu vibaya kwa kitu ambacho sijui? wabongo wengi ujuaji umewazidi mpaka mnajitoa akili ukiambiwa unachozungumza kitolee ushahidi huwezi sasa mimi na wewe nani atakuwa mwenye chuki?naona umeumia sana, POle MKuu
Kama umuonei wivu kwanini umzushie kitu ambacho hauna ushahidi nacho?Mkuu huko sasa unazidi kujidhalilisha.
Mimi nimuonee wivu Bilionea kwa sababu gani?
Pesa zake ni kwa ajili yake yeye , familia yake hata wewe hazikuhusu.
Mhhh, tuone kama 'Baby Oil' aliyopakwa na P. Diddy itamsaidia, yetu macho.
Unaumia ni wewe sio mimi hivi umewahi kuona nimemzungumzia mtu vibaya kwa kitu ambacho sijui? wabongo wengi ujuaji umewazidi mpaka mnajitoa akili ukiambiwa unachozungumza kitolee ushahidi huwezi sasa mimi na wewe nani atakuwa mwenye chuki?
Unaongea as if umeona tukio lilikuaje wakati mondi alienda na crew nzima ya Wasafi wakiwa na mwenyeji wao Sweezbeat sasa unaniaminisha vipi kuwa kimetokea hilo sualaNdugu sio tunaumia tunasikitika.
Hivi hujui kwamba huyo didi aliyewafirafira watu hovyo yupo lupango na dhamana kakataliwa kwamba anaweza kuharibu ushahidi?
FBI wamesema wanaushahidi kibao ukijumuisha documents,video ,audio, items walizochukua kwenye nyumba yake pamoja na watu waathirika
Unaweza ukashangaa huyo domo naye akahitajika huko USA kutoa ushahidi kwa waliyofanyiwa .
Huyu did haya mambo yake yalikuwa yanaongelewa kitambo nilikuwa siamini ila alivyokamatwa na watu walivyojitokeza nimetokea kumchukia sana puff daddy.
Yaani katuharibia domo wetu hivihivi kasababisha wakenya wawe wanawasema wasanii wa bongo hovyo
Hivi wewe jamaa unafikiria did anamiliki kijumba..Unaongea as if umeona tukio lilikuaje wakati mondi alienda na crew nzima ya Wasafi wakiwa na mwenyeji wao Sweezbeat sasa unaniaminisha vipi kuwa kimetokea hilo suala
Nani kamtaja MO dewji humu? uzushi hauwezi muondolea mtu maendeleo yake, habari ambazo hakuna uthibitisho peleka huko kwenye vijiwe vya uzushiWivu wa kuachwa mbali kimaendeleo? Mo dewji una wivu naye kwa sababu kakuacha?
Aende aka Pididiwe tenaWCB wametangaza kuwa Diamond amewasilisha wimbo wa Komasava kuwania Tuzo za Grammy mwaka kesho.
Komasava imewasilishwa katika vipengele vya Best Music Video na Best African Music Performance.
Mnadhani atashinda mbele ya Burna Boy, Wizkid na magwiji wengine?
View attachment 3121644