Rasmi hatimaye Yanga wafyata mkia, kwaheri Fiston Kalala Mayele Esazalibiere

Rasmi hatimaye Yanga wafyata mkia, kwaheri Fiston Kalala Mayele Esazalibiere

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
images (3).jpeg

Fiston Kalala Mayele.
Aondoka RASMI YANGA kuelekea pyramid FC.

KWAHERI Mayele Kila LAKHERI huko uendako.

MAMBO KUMI YA FISTON MAYELE.

1.Ulikuwa mshambuliaji Bora.
2. Ulikuwa mchezaji unayejituma mno.
3. Ulikuwa mchezaji unaejitoa sana.

4.Ulikuwa mchezaji MWENYE Nidhamu mno.
5. Ulikuwa mchezaji PENDWA sana.
6. Ulikuwa Unazungumza kiswahili kuliko mchezaji yoyote yule kutoka DRC.

7. STAYLE yako (ya Kongo)Ya ushambuliaji ilikuwa na msisimko WA Hali ya juu.

8. Ulishiriki vizuri Ibada za KANISA lako ST Peter.

9. Ulikuwa na Familia Bora sana

10. Hakika Mwamba Ulitetema.

HATA MASHABIKI WA SIMBA TUKIWA NYUMBANI TULIKUWA TUNAJARIBU KUTETEMA.
 
HATA MASHABIKI WA SIMBA TUKIWA NYUMBANI TULIKUWA TUNAJARIBU KUTETEMA
Yanga ni timu wakuu sio mtu mmoja. Mayele hawez kubadili mitazamo ya yanga wote kama alivyo chama
 
Anaweza toka Mayele na timu ikafanya vizuri. Ila kwenye kale kakikundi mtoe Chama uone wanavyotafutana. Wanashabikia zaidi Mayele kuondoka ni kale kakikundi kanachotafuta kufika kilele na hao ndio walioshabikia Feisal kuondoka na bado timu ikafanya vizuri. Hamshtuki mnaemuombea njaa ndio kwanza anazidi kuneemeka? 🤣🤣
 
Attachments

  • 1688569789115.jpg
    1688569789115.jpg
    29.5 KB · Views: 6
Fiston Kalala Mayele.
Aondoka RASMI YANGA kuelekea pyramid FC.

KWAHERI Mayele Kila LAKHERI huko uendako.

MAMBO KUMI YA FISTON MAYELE.

1.Ulikuwa mshambuliaji Bora.
2. Ulikuwa mchezaji unayejituma mno.
3. Ulikuwa mchezaji unaejitoa sana.

4.Ulikuwa mchezaji MWENYE Nidhamu mno.
5. Ulikuwa mchezaji PENDWA sana.
6. Ulikuwa Unazungumza kiswahili kuliko mchezaji yoyote yule kutoka DRC.

7. STAYLE yako (ya Kongo)Ya ushambuliaji ilikuwa na msisimko WA Hali ya juu.

8. Ulishiriki vizuri Ibada za KANISA lako ST Peter.

9. Ulikuwa na Familia Bora sana

10. Hakika Mwamba Ulitetema.

HATA MASHABIKI WA SIMBA TUKIWA NYUMBANI TULIKUWA TUNAJARIBU KUTETEMA.

View attachment 2689966
BAADA YA MAGUFULI KUFA NDIO TUKAONA UMUHIMU WAKE[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ahueni tu aondoke. Maana kuna baadhi ya mashabiki mlikuwa mnamchukia sana kwa sababu tu ya kuifungia timu yake magoli muhimu, na baada ya hapo anaenda kukutetema kwa jeuri na mashabiki wake.

Nakumbuka Yanga ya Fiston Mayele na Fei Toto, ilikuwa ni Yanga ya moto sana. Ngoja tuone kitakachotokea msimu ujao. Iwapo maumivu ndiyo yatakwisha, au yataendelea kama kawaida.
 
Back
Top Bottom