It's all about business pande zote mbili zinafaidika na kuondoka kwake na siku zote biashara ya mpira ndo ilivyo.Fiston Kalala Mayele.
Aondoka RASMI YANGA kuelekea pyramid FC.
KWAHERI Mayele Kila LAKHERI huko uendako.
MAMBO KUMI YA FISTON MAYELE.
1.Ulikuwa mshambuliaji Bora.
2. Ulikuwa mchezaji unayejituma mno.
3. Ulikuwa mchezaji unaejitoa sana.
4.Ulikuwa mchezaji MWENYE Nidhamu mno.
5. Ulikuwa mchezaji PENDWA sana.
6. Ulikuwa Unazungumza kiswahili kuliko mchezaji yoyote yule kutoka DRC.
7. STAYLE yako (ya Kongo)Ya ushambuliaji ilikuwa na msisimko WA Hali ya juu.
8. Ulishiriki vizuri Ibada za KANISA lako ST Peter.
9. Ulikuwa na Familia Bora sana
10. Hakika Mwamba Ulitetema.
HATA MASHABIKI WA SIMBA TUKIWA NYUMBANI TULIKUWA TUNAJARIBU KUTETEMA.
View attachment 2689966
All the best Mayele huku nyuma umeacha legacy ambayo haitasahaulika