WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,615
- 3,784
Sasa huja elewa nn? Sijui shule huwa mna soma madudu gani?Mpambe ndio nani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huja elewa nn? Sijui shule huwa mna soma madudu gani?Mpambe ndio nani mkuu?
Inabidi uwe mjinga sana kuamini kwamba makolo watachukua ubingwa mwakani.Kama Kaleta b4 msimu Jana kulikua na haki zote za kumbakisha. Yaani kwa gharama yoyote ile.
Naona njia ya ubingwa inazidi kuwanyookea makolo.
Hakuna mchezaji anaeitwa mpambe bwege weweSasa huja elewa nn? Sijui shule huwa mna soma madudu gani?
Mbona huja uliza Cr7. Ni nani?Hakuna mchezaji anaeitwa mpambe bwege wewe
Huyo yupo niulize nini sasaMbona huja uliza Cr7. Ni nani?
Hilo ni jina ganiHuyo yupo niulize nini sasa
Kaka hata kama ni ushabiki heshimu mpinzani hakuna simba bila yanga timu hizi zinatiana hamasa kujiletea mafanikio,n.b timu unayoiita kakikundi ni namba za saba kwenye rank za afrika !sio bahati mbaya.Anaweza toka Mayele na timu ikafanya vizuri. Ila kwenye kale kakikundi mtoe Chama uone wanavyotafutana. Wanashabikia zaidi Mayele kuondoka ni kale kakikundi kanachotafuta kufika kilele na hao ndio walioshabikia Feisal kuondoka na bado timu ikafanya vizuri. Hamshtuki mnaemuombea njaa ndio kwanza anazidi kuneemeka? [emoji1787][emoji1787]
Kwa maumivu makubwaaYanga ni timu wakuu sio mtu mmoja. Mayele hawez kubadili mitazamo ya yanga wote kama alivyo chama
HawajielewiKaka hata kama ni ushabiki heshimu mpinzani hakuna simba bila yanga timu hizi zinatiana hamasa kujiletea mafanikio,n.b timu unayoiita kakikundi ni namba za saba kwenye rank za afrika !sio bahati mbaya.
Sasa hapo unabisha nini?? Yess ss tumetoa wale waliokua hawana impact...Linganisha pia na yale magarasa yenu lukuki mliyositisha mikata yao kwa aibu.
Okrah, Okwah, Sawadogo, Ouwattara, Akpan, .........!! Malizia waliobakia. Maana idadi ni kubwa.
Linganisha pia na yale magarasa yenu lukuki mliyositisha mikata yao kwa aibu.
Okrah, Okwah, Sawadogo, Ouwattara, Akpan, .........!! Malizia waliobakia. Maana idadi ni kubwa.
Natabiri kwamba Fiston kalala mayele atasugua benchi pyramid na ndani ya mwaka mmoja ataomba avunjiwe mkataba ili arudi jangwani fcView attachment 2690010
Fiston Kalala Mayele.
Aondoka RASMI YANGA kuelekea pyramid FC.
KWAHERI Mayele Kila LAKHERI huko uendako.
MAMBO KUMI YA FISTON MAYELE.
1.Ulikuwa mshambuliaji Bora.
2. Ulikuwa mchezaji unayejituma mno.
3. Ulikuwa mchezaji unaejitoa sana.
4.Ulikuwa mchezaji MWENYE Nidhamu mno.
5. Ulikuwa mchezaji PENDWA sana.
6. Ulikuwa Unazungumza kiswahili kuliko mchezaji yoyote yule kutoka DRC.
7. STAYLE yako (ya Kongo)Ya ushambuliaji ilikuwa na msisimko WA Hali ya juu.
8. Ulishiriki vizuri Ibada za KANISA lako ST Peter.
9. Ulikuwa na Familia Bora sana
10. Hakika Mwamba Ulitetema.
HATA MASHABIKI WA SIMBA TUKIWA NYUMBANI TULIKUWA TUNAJARIBU KUTETEMA.
Hata mimi najiuliza ngombe wake nadhani watakuwa weshazaliana kidogo, sijui atapanda nao ndege kuwapeleka misri?Duuuh ameondoka na tung'ombe twake
Nimelia saaana baada ya kusoma post yako hiiJose Mourinho anasema Usajili Bora kabisa ni kuwabakisha wachezaji wako Bora.
JE MSIMU mpya WA Yanga utakuwaje.
1. FEISAL Out.
2. MAYELE Out
3. JUMA Shaban out.
4. Bangala Out.
5. NABI.
6.kaze.
7. Efue.
Simba BINGWA 2023-24.
Feisal ndo kasababisha Mayele akimbie maana alikuwa anamtumia screenshot ya mshahara wake pale Azam kila sikuHata mimi najiuliza ngombe wake nadhani watakuwa weshazaliana kidogo, sijui atapanda nao ndege kuwapeleka misri?
Hata hivyo tumwacheni aondoke akajitafutie maisha; tena ameondoka kwa kufuata utaratibu na kwa ustaarabu sana akikidhi makubaliano ya pande zote siyo kama mzenji wetu aliyeondoka kwa fujo na matusi mengi huku akiishia Azam tu. Nilipenda sana nidhamu ya Mayele na jinsi alivyokuwa anajituma uwanjani, na uongeazji wake mzuri wa kiswahili; ni mtu humble sana. Sasa Yanga iwe makini sana kwenye mkataba wa kumuuza.
Madogo wa jamii forums wengi wenu hamna adabu. Eti mtoto mdogo! Ni juzi tu hapa ulitoka kujisifia hata miaka 30 hujafika!! Sasa kwa huo umri wako wa 20's, mimi si kama baba yako tu.Bahati Mbaya mtoto mdogo kama wewe unataka kushindana na Mtu MWENYE AKILI nyingi kama Mimi.
Ndani ya Miaka miwili yanga IMEKUWA na wachezaji WAFUATAO.
1. Erick johora.
2. Nkane.
3.David Brayson.
4.Mamadou Dombia.
5.Ninja.
6. Mauya
7. Ambundo.
8. krispin Ngushi
9. Eritiermakambo
10. Chiko ushindi WA kubanza.
11.Tuisila kisinda.
Chukua Hiyo.
Hii imeenda.
Yah hakua na baya na mtu wala timu pinzani..he was a fair player..Hata mimi najiuliza ngombe wake nadhani watakuwa weshazaliana kidogo, sijui atapanda nao ndege kuwapeleka misri?
Hata hivyo tumwacheni aondoke akajitafutie maisha; tena ameondoka kwa kufuata utaratibu na kwa ustaarabu sana akikidhi makubaliano ya pande zote siyo kama mzenji wetu aliyeondoka kwa fujo na matusi mengi huku akiishia Azam tu. Nilipenda sana nidhamu ya Mayele na jinsi alivyokuwa anajituma uwanjani, na uongeazji wake mzuri wa kiswahili; ni mtu humble sana. Sasa Yanga iwe makini sana kwenye mkataba wa kumuuza.
Siyo kweli. Ameondoka kwa ofa kubwa ya Waarabu. feisal hajawa mc hezaji wa kulipwa Milioni 50 labda tu kwa vile Bakhresa ni mzenji mwenzie awe anamlipa kutokana na utajiri wake lakini siyo kwa sababu ya uchezaji.Feisal ndo kasababisha Mayele akimbie maana alikuwa anamtumia screenshot ya mshahara wake pale Azam kila siku