Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaweza toka Mayele na timu ikafanya vizuri. Ila kwenye kale kakikundi mtoe Chama uone wanavyotafutana. Wanashabikia zaidi Mayele kuondoka ni kale kakikundi kanachotafuta kufika kilele na hao ndio walioshabikia Feisal kuondoka na bado timu ikafanya vizuri. Hamshtuki mnaemuombea njaa ndio kwanza anazidi kuneemeka?
Mwarabu wa kutoa bilioni 3 kwa mchezaji wa miaka karibia 30 aliyekuwa na fluk katika mashindano ya shirikisho ni mwarabu gani huyo? Hivi ulimuona Mayele katika mechi ya pili ya fainali? Uliona mchezaji wa kununuliwa kwa bilioni 3 pale?Siyo kweli. Ameondoka kwa ofa kubwa ya Waarabu. feisal hajawa mc hezaji wa kulipwa Milioni 50 labda tu kwa vile Bakhresa ni mzeni awe anamlipa kutokana na utajiri wake lakini siyo kwa sababu ya uchezaji.
Hata hivyo, Feisal angeondoka kama mwenzake alivyofanya; yaani kwa makubaliano ya pande zote mbili kiasi kuwa timu inayoimtaka ikaleta dau baada ya msimu; siyo kwa mbwemwe na matusi tena katikati ya msimu.
Ugumu ulianzia pale robo robo fc walipowapiga viwili bila kuchomoaMayele hatumdai chochote, all the best huko aendako. Yanga inapaswa kujaza vizuri pengo la Mayele, Bangala na Morrison. Huu msimu huenda ukawa mgumu kwetu.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Aisee2.8 billion ni biashara. Na hapo kaleta zaidi ya Billion 4 msimu jana
Heeh kumbe kweli waliposema nyani haoni kundule. Anza kuwarekebisha wenzako wanamdharau mpinzaniKaka hata kama ni ushabiki heshimu mpinzani hakuna simba bila yanga timu hizi zinatiana hamasa kujiletea mafanikio,n.b timu unayoiita kakikundi ni namba za saba kwenye rank za afrika !sio bahati mbaya.
It’s a big loss for our football leagueView attachment 2690010
Fiston Kalala Mayele.
Aondoka RASMI YANGA kuelekea pyramid FC.
KWAHERI Mayele Kila LAKHERI huko uendako.
MAMBO KUMI YA FISTON MAYELE.
1.Ulikuwa mshambuliaji Bora.
2. Ulikuwa mchezaji unayejituma mno.
3. Ulikuwa mchezaji unaejitoa sana.
4.Ulikuwa mchezaji MWENYE Nidhamu mno.
5. Ulikuwa mchezaji PENDWA sana.
6. Ulikuwa Unazungumza kiswahili kuliko mchezaji yoyote yule kutoka DRC.
7. STAYLE yako (ya Kongo)Ya ushambuliaji ilikuwa na msisimko WA Hali ya juu.
8. Ulishiriki vizuri Ibada za KANISA lako ST Peter.
9. Ulikuwa na Familia Bora sana
10. Hakika Mwamba Ulitetema.
HATA MASHABIKI WA SIMBA TUKIWA NYUMBANI TULIKUWA TUNAJARIBU KUTETEMA.
mchezaji bora sana sana wa kigeni kucheza tzIt's all about business pande zote mbili zinafaidika na kuondoka kwake na siku zote biashara ya mpira ndo ilivyo.
All the best Mayele huku nyuma umeacha legacy ambayo haitasahaulika
Kwanini mlikuwa mna mng'ang'ania mpaka kumtumia Rais msaafu kuongea nae amshawishi abaki?Yanga ni timu wakuu sio mtu mmoja. Mayele hawez kubadili mitazamo ya yanga wote kama alivyo chama
Weka pichaKwanini mlikuwa mna mng'ang'ania mpaka kumtumia Rais msaafu kuongea nae amshawishi abaki?
Hatimaye leo umefunguka kabisa kwa sentensi ya mwishoni hapo. Kwa sentensi hiyo, sishangai Inonga kuweza kutetema perfectly na Mayele huko kwenye timu ya taifa lao.View attachment 2690010
Fiston Kalala Mayele.
Aondoka RASMI YANGA kuelekea pyramid FC.
KWAHERI Mayele Kila LAKHERI huko uendako.
MAMBO KUMI YA FISTON MAYELE.
1.Ulikuwa mshambuliaji Bora.
2. Ulikuwa mchezaji unayejituma mno.
3. Ulikuwa mchezaji unaejitoa sana.
4.Ulikuwa mchezaji MWENYE Nidhamu mno.
5. Ulikuwa mchezaji PENDWA sana.
6. Ulikuwa Unazungumza kiswahili kuliko mchezaji yoyote yule kutoka DRC.
7. STAYLE yako (ya Kongo)Ya ushambuliaji ilikuwa na msisimko WA Hali ya juu.
8. Ulishiriki vizuri Ibada za KANISA lako ST Peter.
9. Ulikuwa na Familia Bora sana
10. Hakika Mwamba Ulitetema.
HATA MASHABIKI WA SIMBA TUKIWA NYUMBANI TULIKUWA TUNAJARIBU KUTETEMA.