CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Yanga ni timu wakuu sio mtu mmoja. Mayele hawez kubadili mitazamo ya yanga wote kama alivyo chamaFiston Kalala Mayele.
Aondoka RASMI YANGA kuelekea pyramid FC.
KWAHERI Mayele Kila LAKHERI huko uendako.
MAMBO KUMI YA FISTON MAYELE.
1.Ulikuwa mshambuliaji Bora.
2. Ulikuwa mchezaji unayejituma mno.
3. Ulikuwa mchezaji unaejitoa sana.
4.Ulikuwa mchezaji MWENYE Nidhamu mno.
5. Ulikuwa mchezaji PENDWA sana.
6. Ulikuwa Unazungumza kiswahili kuliko mchezaji yoyote yule kutoka DRC.
7. STAYLE yako (ya Kongo)Ya ushambuliaji ilikuwa na msisimko WA Hali ya juu.
8. Ulishiriki vizuri Ibada za KANISA lako ST Peter.
9. Ulikuwa na Familia Bora sana
10. Hakika Mwamba Ulitetema.
HATA MASHABIKI WA SIMBA TUKIWA NYUMBANI TULIKUWA TUNAJARIBU KUTETEMA
Kama Kaleta b4 msimu Jana kulikua na haki zote za kumbakisha. Yaani kwa gharama yoyote ile.2.8 billion ni biashara. Na hapo kaleta zaidi ya Billion 4 msimu jana
Mkuu umenichekeshaMabega yatapoooooooza
BAADA YA MAGUFULI KUFA NDIO TUKAONA UMUHIMU WAKE[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fiston Kalala Mayele.
Aondoka RASMI YANGA kuelekea pyramid FC.
KWAHERI Mayele Kila LAKHERI huko uendako.
MAMBO KUMI YA FISTON MAYELE.
1.Ulikuwa mshambuliaji Bora.
2. Ulikuwa mchezaji unayejituma mno.
3. Ulikuwa mchezaji unaejitoa sana.
4.Ulikuwa mchezaji MWENYE Nidhamu mno.
5. Ulikuwa mchezaji PENDWA sana.
6. Ulikuwa Unazungumza kiswahili kuliko mchezaji yoyote yule kutoka DRC.
7. STAYLE yako (ya Kongo)Ya ushambuliaji ilikuwa na msisimko WA Hali ya juu.
8. Ulishiriki vizuri Ibada za KANISA lako ST Peter.
9. Ulikuwa na Familia Bora sana
10. Hakika Mwamba Ulitetema.
HATA MASHABIKI WA SIMBA TUKIWA NYUMBANI TULIKUWA TUNAJARIBU KUTETEMA.
View attachment 2689966
Ww ume soma biashara gani? Gari lime rudisha mtaji na faida juu. Na huna uhakika nalo ufanisi wake mwakani. Why usi uze? Mpambe anauzwa, Cr7 ali uzwa, Halaand kauzwa.Kama Kaleta b4 msimu Jana kulikua na haki zote za kumbakisha. Yaani kwa gharama yoyote ile.
Naona njia ya ubingwa inazidi kuwanyookea makolo.
Hizi unasajili kikosi chote cha Simba.2.8 billion ni biashara. Na hapo kaleta zaidi ya Billion 4 msimu jana
Kabisa
Yaani mabega yatashuka Kama Nani daaah mfano hakunaMkuu umenichekesha
Una degree ya unafikiVikao vya ile kamati ya wazee havijasaidia kitu.
Saizi fokasi yao waelekeze kwa Musonda