Rasmi hatimaye Yanga wafyata mkia, kwaheri Fiston Kalala Mayele Esazalibiere

It's all about business pande zote mbili zinafaidika na kuondoka kwake na siku zote biashara ya mpira ndo ilivyo.
All the best Mayele huku nyuma umeacha legacy ambayo haitasahaulika
 
Yanga wamefanya biashara nzuri
4b si haba kwa mkataba wa mwaka mmoja uliokuwa umebaki
Mayele alikuja kama free agent
Baada ya kuongeza mkataba akaanza kulipwa milion 18
Yanga tumempa platform akaonekana na sasa tumepiga pesa ndefu
Tumunoe msonda mwakani tumuuze 5b

Hongera young Africans
Timu ya wananchi
 
Nataka niongee suala moja kumhusu mayele.
YANGA tuko imara sana na tulishajiandaa tangu zamani kwamba mayele hatutakua nae msimu ujao.
Hizi habari za kumuongezea mkataba na kumboreshea maslahi zilikuwa ni janja janja tu ili tusitoke mchezoni ila ilikuwa ngumu kumbakisha mayele yanga kwa kiwango alichokionesha msimu ulioisha ligi kuu na kimataifa.
Hivyo basi mimi kama mshabiki muandamizi wa young africans sports club namtakia kheri tele na fanaka katika majukumu yake mapya kama walimwengu wasemavyo.


CC. NALIA NGWENA
 
Siwalisema haendi popote, tabu ipo pale pale. Uto wenye akili ni 2
 
Mayele hatumdai chochote, all the best huko aendako. Yanga inapaswa kujaza vizuri pengo la Mayele, Bangala na Morrison. Huu msimu huenda ukawa mgumu kwetu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mayele hatumdai chochote, all the best huko aendako. Yanga inapaswa kujaza vizuri pengo la Mayele, Bangala na Morrison. Huu msimu huenda ukawa mgumu kwetu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kudos mwananchiiiiiii.
Hatupaswi kuwaonesha kwamba habari hizi zimetuvuruga balinipart ya maisha ya yanga maana walikuwepo wazuri zaidi yake wakaondoka na watakuja wazuri zaidi yake na wataondoka.
Kinachotakiwa tusiwe kama makolo kwamba mchezaji huko alipo ngangania kwenda akifeli basi dampo liwe sisi.
 
Sasa itakuwaje pale jangwan msimu ujao..
Tumejiandaa kutwaa klabu bingwa; yule alituchelewesha sana! Alisikika chapombe mmoja akifoka kwa hasira dalili ya sizitaki mbichi hizi.
 
Tumejiandaa kutwaa klabu bingwa; yule alituchelewesha sana! Alisikika chapombe mmoja akifoka kwa hasira dalili ya sizitaki mbichi hizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]
 
Kama shabiki wa timu pinzani nafurahia kuondoka kwake maana sasa tutapumua.

Lakini kama shabiki wa soka na ligi yetu imepoteza mchezaji muhimu sana.

Kila la heri Mayele katika changamoto mpya huko uendako!!
 
Huu ndiyo usajiri bora kabisa msimu huu
 
Jose Mourinho anasema Usajili Bora kabisa ni kuwabakisha wachezaji wako Bora.

JE MSIMU mpya WA Yanga utakuwaje.

1. FEISAL Out.
2. MAYELE Out
3. JUMA Shaban out.
4. Bangala Out.
5. NABI.
6.kaze.
7. Efue.

Simba BINGWA 2023-24.
Linganisha pia na yale magarasa yenu lukuki mliyositisha mikata yao kwa aibu.

Okrah, Okwah, Sawadogo, Ouwattara, Akpan, .........!! Malizia waliobakia. Maana idadi ni kubwa.
 
Ww ume soma biashara gani? Gari lime rudisha mtaji na faida juu. Na huna uhakika nalo ufanisi wake mwakani. Why usi uze? Mpambe anauzwa, Cr7 ali uzwa, Halaand kauzwa.
Mpambe ndio nani mkuu?
 
Bigirimana, Doumbia umesahau kuwataja
Linganisha pia na yale magarasa yenu lukuki mliyositisha mikata yao kwa aibu.

Okrah, Okwah, Sawadogo, Ouwattara, Akpan, .........!! Malizia waliobakia. Maana idadi ni kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…