Rasmi hatimaye Yanga wafyata mkia, kwaheri Fiston Kalala Mayele Esazalibiere

Kama Kaleta b4 msimu Jana kulikua na haki zote za kumbakisha. Yaani kwa gharama yoyote ile.
Naona njia ya ubingwa inazidi kuwanyookea makolo.
Inabidi uwe mjinga sana kuamini kwamba makolo watachukua ubingwa mwakani.
 
Na hii ndo business
Viongozi mmecheza kama Pele safi sana
Hela hiyo leta yule karamoko mbona mikia watajificha uvunguni
 
Kaka hata kama ni ushabiki heshimu mpinzani hakuna simba bila yanga timu hizi zinatiana hamasa kujiletea mafanikio,n.b timu unayoiita kakikundi ni namba za saba kwenye rank za afrika !sio bahati mbaya.
 
Kaka hata kama ni ushabiki heshimu mpinzani hakuna simba bila yanga timu hizi zinatiana hamasa kujiletea mafanikio,n.b timu unayoiita kakikundi ni namba za saba kwenye rank za afrika !sio bahati mbaya.
Hawajielewi
 
Linganisha pia na yale magarasa yenu lukuki mliyositisha mikata yao kwa aibu.

Okrah, Okwah, Sawadogo, Ouwattara, Akpan, .........!! Malizia waliobakia. Maana idadi ni kubwa.
Sasa hapo unabisha nini?? Yess ss tumetoa wale waliokua hawana impact...
 
Linganisha pia na yale magarasa yenu lukuki mliyositisha mikata yao kwa aibu.

Okrah, Okwah, Sawadogo, Ouwattara, Akpan, .........!! Malizia waliobakia. Maana idadi ni kubwa.

Bahati Mbaya mtoto mdogo kama wewe unataka kushindana na Mtu MWENYE AKILI nyingi kama Mimi.

Ndani ya Miaka miwili yanga IMEKUWA na wachezaji WAFUATAO.

1. Erick johora.
2. Nkane.
3.David Brayson.
4.Mamadou Dombia.
5.Ninja.
6. Mauya
7. Ambundo.
8. krispin Ngushi
9. Eritiermakambo
10. Chiko ushindi WA kubanza.
11.Tuisila kisinda.

Chukua Hiyo.
Hii imeenda.
 
Natabiri kwamba Fiston kalala mayele atasugua benchi pyramid na ndani ya mwaka mmoja ataomba avunjiwe mkataba ili arudi jangwani fc
 
Duuuh ameondoka na tung'ombe twake
Hata mimi najiuliza ngombe wake nadhani watakuwa weshazaliana kidogo, sijui atapanda nao ndege kuwapeleka misri?

Hata hivyo tumwacheni aondoke akajitafutie maisha; tena ameondoka kwa kufuata utaratibu na kwa ustaarabu sana akikidhi makubaliano ya pande zote siyo kama mzenji wetu aliyeondoka kwa fujo na matusi mengi huku akiishia Azam tu. Nilipenda sana nidhamu ya Mayele na jinsi alivyokuwa anajituma uwanjani, na uongeazji wake mzuri wa kiswahili; ni mtu humble sana. Sasa Yanga iwe makini sana kwenye mkataba wa kumuuza.
 
Jose Mourinho anasema Usajili Bora kabisa ni kuwabakisha wachezaji wako Bora.

JE MSIMU mpya WA Yanga utakuwaje.

1. FEISAL Out.
2. MAYELE Out
3. JUMA Shaban out.
4. Bangala Out.
5. NABI.
6.kaze.
7. Efue.

Simba BINGWA 2023-24.
Nimelia saaana baada ya kusoma post yako hii
 
Feisal ndo kasababisha Mayele akimbie maana alikuwa anamtumia screenshot ya mshahara wake pale Azam kila siku
 
Madogo wa jamii forums wengi wenu hamna adabu. Eti mtoto mdogo! Ni juzi tu hapa ulitoka kujisifia hata miaka 30 hujafika!! Sasa kwa huo umri wako wa 20's, mimi si kama baba yako tu.
 
Yah hakua na baya na mtu wala timu pinzani..he was a fair player..
 
Feisal ndo kasababisha Mayele akimbie maana alikuwa anamtumia screenshot ya mshahara wake pale Azam kila siku
Siyo kweli. Ameondoka kwa ofa kubwa ya Waarabu. feisal hajawa mc hezaji wa kulipwa Milioni 50 labda tu kwa vile Bakhresa ni mzenji mwenzie awe anamlipa kutokana na utajiri wake lakini siyo kwa sababu ya uchezaji.

Hata hivyo, Feisal angeondoka kama mwenzake alivyofanya; yaani kwa makubaliano ya pande zote mbili kiasi kuwa timu inayoimtaka ikaleta dau baada ya msimu; siyo kwa mbwemwe na matusi tena katikati ya msimu.

Ooh !! eti analishwa Ugali na sukari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…