Rasmi hatimaye Yanga wafyata mkia, kwaheri Fiston Kalala Mayele Esazalibiere

 
Mwarabu wa kutoa bilioni 3 kwa mchezaji wa miaka karibia 30 aliyekuwa na fluk katika mashindano ya shirikisho ni mwarabu gani huyo? Hivi ulimuona Mayele katika mechi ya pili ya fainali? Uliona mchezaji wa kununuliwa kwa bilioni 3 pale?

Uzuri huwa nakumbuka kuwatag ukweli unapokuja kubumbuluka.
 
Kaka hata kama ni ushabiki heshimu mpinzani hakuna simba bila yanga timu hizi zinatiana hamasa kujiletea mafanikio,n.b timu unayoiita kakikundi ni namba za saba kwenye rank za afrika !sio bahati mbaya.
Heeh kumbe kweli waliposema nyani haoni kundule. Anza kuwarekebisha wenzako wanamdharau mpinzani
 
It’s a big loss for our football league

Alikua chachu ya soka letu

Wonderful striker and a good person too
 
It's all about business pande zote mbili zinafaidika na kuondoka kwake na siku zote biashara ya mpira ndo ilivyo.
All the best Mayele huku nyuma umeacha legacy ambayo haitasahaulika
mchezaji bora sana sana wa kigeni kucheza tz
 
Yanga ni timu wakuu sio mtu mmoja. Mayele hawez kubadili mitazamo ya yanga wote kama alivyo chama
Kwanini mlikuwa mna mng'ang'ania mpaka kumtumia Rais msaafu kuongea nae amshawishi abaki?
 
Hatimaye leo umefunguka kabisa kwa sentensi ya mwishoni hapo. Kwa sentensi hiyo, sishangai Inonga kuweza kutetema perfectly na Mayele huko kwenye timu ya taifa lao.

Hongera kwa huu uanamichezo, ingawa umeyasema haya wakati anaondka Yanga..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…