Rasmi Hezbollah yathibitisha kuuawa kwa kiongozi wao Hassan Nasrallah

Wewe siulisema hajafu mpaka ukatukana tu, sasa unalia nini?
 
Ulisema hajafa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sababu Hezbullah alikuwa hajatangaza kama kafa. Israel sio kila anacho sema ni sawa, kwanza walisema wamemuwa jana, afu na wao wakasita hapo ndio ujuwe Israel mnamkuza tu hana lolote mpaa apewe infomation na wanafiki kule Lebanon. sababu wale wanafiki walikuwa hawajamuona Nasurlah ๐Ÿ’ฏ kama kafa
 
Hakuna msaada Iran amewahi kutoa kwa magaidi wake... Haniya kafa na Nashrallah kafa na hakuna kilichofanyika, Israel Iko Gaza na Hezbollah waliobaki walisema Su, anaingia Lebanon na hakuna kitu Iran atafanya
Irani mweupe tu muda mchache uliopita kajaribu kupeleka kindege chake hapo Beirut, Lebanon wakakizuia wakamwambia Iran usituongezee misiba hapa kwa madhaliliko makubwa kindege kikageuza kurudi tehran maana kingelipuliwa na myahudi instant
 

Ila Nasrallah angetulia yasingemkuta.
 
Hakuna sehemu kwenye Quran kumetaja Bikra 72. Kama unaushahid lete
Sio mabikra tu Hadi mito ya pombe sisi waislamu swafi tumeahidiwa,peponi ni full ngono tu!!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

โ€œThere is no one whom Allah will admit to Paradise but Allah will marry him to seventy-two wives, two from houris and seventy from his inheritance from the people of Hell, all of whom will have desirable front passages and he will have a male member that never becomes flaccid (i.e., soft and limp).โ€™โ€
ุญูŽุฏู‘ูŽุซูŽู†ูŽุง ู‡ูุดูŽุงู…ู ุจู’ู†ู ุฎูŽุงู„ูุฏู ุงู„ุฃูŽุฒู’ุฑูŽู‚ู ุฃูŽุจููˆ ู…ูŽุฑู’ูˆูŽุงู†ูŽ ุงู„ุฏู‘ูู…ูŽุดู’ู‚ููŠู‘ูุŒ ุญูŽุฏู‘ูŽุซูŽู†ูŽุง ุฎูŽุงู„ูุฏู ุจู’ู†ู ูŠูŽุฒููŠุฏูŽ ุจู’ู†ู ุฃูŽุจููŠ ู…ูŽุงู„ููƒูุŒ ุนูŽู†ู’ ุฃูŽุจููŠู‡ูุŒ ุนูŽู†ู’ ุฎูŽุงู„ูุฏู ุจู’ู†ู ู…ูŽุนู’ุฏูŽุงู†ูŽุŒ ุนูŽู†ู’ ุฃูŽุจููŠ ุฃูู…ูŽุงู…ูŽุฉูŽุŒ ู‚ูŽุงู„ูŽ ู‚ูŽุงู„ูŽ ุฑูŽุณููˆู„ู ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ู€ ุตู„ู‰ ุงู„ู„ู‡ ุนู„ูŠู‡ ูˆุณู„ู… ู€ โ€ "โ€ ู…ูŽุง ู…ูู†ู’ ุฃูŽุญูŽุฏู ูŠูุฏู’ุฎูู„ูู‡ู ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ุงู„ู’ุฌูŽู†ู‘ูŽุฉูŽ ุฅูู„ุงู‘ูŽ ุฒูŽูˆู‘ูŽุฌูŽู‡ู ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ุนูŽุฒู‘ูŽ ูˆูŽุฌูŽู„ู‘ูŽ ุซูู†ู’ุชูŽูŠู’ู†ู ูˆูŽุณูŽุจู’ุนููŠู†ูŽ ุฒูŽูˆู’ุฌูŽุฉู‹ ุซูู†ู’ุชูŽูŠู’ู†ู ู…ูู†ูŽ ุงู„ู’ุญููˆุฑู ุงู„ู’ุนููŠู†ู ูˆูŽุณูŽุจู’ุนููŠู†ูŽ ู…ูู†ู’ ู…ููŠุฑูŽุงุซูู‡ู ู…ูู†ู’ ุฃูŽู‡ู’ู„ู ุงู„ู†ู‘ูŽุงุฑู ู…ูŽุง ู…ูู†ู’ู‡ูู†ู‘ูŽ ูˆูŽุงุญูุฏูŽุฉูŒ ุฅูู„ุงู‘ูŽ ูˆูŽู„ูŽู‡ูŽุง ู‚ูุจูู„ูŒ ุดูŽู‡ููŠู‘ูŒ ูˆูŽู„ูŽู‡ู ุฐูŽูƒูŽุฑูŒ ู„ุงูŽ ูŠูŽู†ู’ุซูŽู†ููŠ โ€"โ€ โ€.โ€ ู‚ูŽุงู„ูŽ ู‡ูุดูŽุงู…ู ุจู’ู†ู ุฎูŽุงู„ูุฏู ู…ูู†ู’ ู…ููŠุฑูŽุงุซูู‡ู ู…ูู†ู’ ุฃูŽู‡ู’ู„ู ุงู„ู†ู‘ูŽุงุฑู ูŠูŽุนู’ู†ููŠ ุฑูุฌูŽุงู„ุงู‹ ุฏูŽุฎูŽู„ููˆุง ุงู„ู†ู‘ูŽุงุฑูŽ ููŽูˆูŽุฑูุซูŽ ุฃูŽู‡ู’ู„ู ุงู„ู’ุฌูŽู†ู‘ูŽุฉู ู†ูุณูŽุงุกูŽู‡ูู…ู’ ูƒูŽู…ูŽุง "ูˆูุฑูุซูŽุชู ุงู…ู’ุฑูŽุฃูŽุฉู ููุฑู’ุนูŽูˆู’ู†ูŽ โ€.โ€
English reference : Vol. 5, Book 37, Hadith 4337
Arabic reference : Book 37, Hadith 44
 
Kumbe allah ndio analeta magaidi?!
Shika adabu zako wewe Allah akita kuiteketeza hio Israel ni second tu. Usidhani kila Firauni anateketezwa na Mungu pale pale. Anamuwacha note mapembe weee afu anamzimisha kama vile Firauni na wenzake walio jifanya ni miung Kama anavyo jifanya Israil na yeye taifa la miungu wenu 1=3 time yake haipo mbali yeye na huyo anaye jita super power US.
 
K
Asingeingilia ugomvi yasin

Jaribu usome historiabyake. Ameabza kuongoza Hezbollah mwaka 1992, amewahi kutangazwa kuuawa na serikali ya Israel mara 7 katika miaka tofauti tofauti mpaka hapo Jana wamefanikiwa ikiwa ni mara ya 8. Amewahi kuongoza vita vingi sana baina ya Israel na Hezbollah ikiwemo vita vya ukombozi na mfanikio makubwa 2000 na vita pia vya 2006 ambapo Israel ilikaribia kuiteka Beirut.

Ni mtu ambae Israel na Marekani wamemuwinda kwa miaka 30.

Ni mtu pekee ambae wazi wazi na kwa vitendo alitangaza kua daima atawaunga mkono Palestine na kwa mwaka mzima tangu September 7 vita vianze baina ya HAMAS na Israel amekua akiendesha mashambulizi ya vituo vya kijeshi na miundo mbinu ya jeshi.

Israel ilikua imejiandaa kuingia vitani na Hezbollah na tayari moakani imeandaa vikosi vya kutosha vya vifaru kwa ajili ya kuanza mashambulizi ya ardhini baada ya kufanya mashambulizi ya ndege zaidi ya 2000 kwa muda wa wiki moja.

Alikua akifahamu ipo siku atakuawa kwani hata yeye alichukua uongozi kutoka kwa mtu ambae aliuawa na Israel.

Swali kuu- Hezbollah itakufa nguvu?!! Israel ameshinda rasmi vita dhidi ya Hezbollah na HAMAS?!!

Tusubirie ndani ya wiki 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ