Rasmi Hezbollah yathibitisha kuuawa kwa kiongozi wao Hassan Nasrallah

Rasmi Hezbollah yathibitisha kuuawa kwa kiongozi wao Hassan Nasrallah

Duh!
Watu wa Allah wananunulika, hatari.
Tatizo wanaishi na wananchi wao kibabe sana.. hata iran yenyewe haikuwa nchi ya misimamo mikali kabla ya kina ayatolla kuingia.. unakuta wananchi hawapendi serikali/utawala.. kwanini wasinunulike hapo?
 
Aisee, kweli.
 
Nilitaka kushangaa kuwa Israel watoe taarifa halafu isiwe kweli hawa jamaa ni mara chache mno wakamiss target.
 
Hii issue ya Lebabon Hezibollah wamejitakia , kwani hezibolah ndo wapigane na Israel na siyo Serikali ya Lebanon hapo jamaa ametaka kufurahisha Iran lakini imegharimu maisha yake.
 
waarabu walishajaribu na walikung'utwa kipigo cha mbwa mwizi na ndo maana Misri na Jordan zina mkataba wa amani na Israel na kamwe hawataki shobo na Israel
Nimecheka sana heti hawataki shobo
 
Alikuwepo kiongozi kabla yake akauawa na akaja yeye.
Hivyo atakuja mwingine zaidi yake.
Israel anamaliza mambo fasta hadi waje kujipanga sio leo ....666 hio ukila na kipofu usimshike mkono
 
Israel anamaliza mambo fasta hadi waje kujipanga sio leo ....666 hio ukila na kipofu usimshike mkono
Sio rahisi kama unavyodhani.
Hao hizbollah nao ni binadamu wana akili na mipango vile vile.
 
Hii issue ya Lebabon Hezibollah wamejitakia , kwani hezibolah ndo wapigane na Israel na siyo Serikali ya Lebanon hapo jamaa ametaka kufurahisha Iran lakini imegharimu maisha yake.
Muda si mrefu Hezbollah itafutwa kwenye ardhi ya Lebanon.

Lebanon itakuwa nchi salama
 
Sio rahisi kama unavyodhani.
Hao hizbollah nao ni binadamu wana akili na mipango vile vile.
Hao ni wapalestina waliovamia nchi ya watu na kuanza kuleta majanga huko Lebanon,,,,watafumuliwa kama wenzao wa Gaza walivyofumuliwa
 
Huijui Hizbollah kaisome vizuri.
Hamna jipya hapo we ,,,,waarabu na madevu yao wanapelekeshwa mbio na ka nchi kadogo tu,,,,,,huu mtanange tokea uaze Netanyahu bado yupo palepale Israel bado haijabadili kiongozi ila huku wanabadilika tu,,,,,,,walianza na yule wa Iran wakapita nae
 
Alikuwepo kiongozi kabla yake akauawa na akaja yeye.
Hivyo atakuja mwingine zaidi yake.
Yeyote atakayekuja atauwawa na wayahudi so mwisho wa siku Iran anabaki kuwa looser tu kamwe hatofanikiwa lengo lake la kishetani la kuifuta Israel kwenye uso wa dunia. Umekuwa ukiisifia sana Hezbollah kuwa ina la maana ubishi wako leo umefika mwisho ukishuhudia kwa macho yako. Najua bado utaendelea kuamini mnayoaminishana na wana wengine wa Ibilisi ila uzuri ni kuwa muda unavyoenda kile mnahoamini mnaona kwa macho kuwa ni kinyume chake.

Pole sana kwa msiba wa leo kwa kweli ni habari mbaya sana kwa wana wa Ibilisi, Ayatola kawaomba waislamu muungane kupambana na Israel unakubaliana naye?
 
Back
Top Bottom