Rasmi Hezbollah yathibitisha kuuawa kwa kiongozi wao Hassan Nasrallah

Shika adabu zako wewe Allah akita kuiteketeza hio Israel ni second tu. Usidhani kila Firauni anateketezwa na Mungu pale pale. Anamuwacha note mapembe weee afu anamzimisha kama vile Firauni na wenzake walio jifanya ni miung Kama anavyo jifanya Israil na yeye taifa la miungu wenu 1=3 time yake haipo mbali yeye na huyo anaye jita super power US.
Punguza jazba ujibu swali?! Huyo allah mnayemuabudu ndio analeta magaidi yanayosababisha vifo vya maelfu ya watu wasiokua na hatia?
 
Sababu Hezbullah alikuwa hajatangaza kama kafa. Israel sio kila anacho sema ni sawa, kwanza walisema wamemuwa jana, afu na wao wakasita hapo ndio ujuwe Israel mnamkuza tu hana lolote mpaa apewe infomation na wanafiki kule Lebanon. sababu wale wanafiki walikuwa hawajamuona Nasurlah 💯 kama kafa
Ndo ujue Israel sio waarabu Sasa
Mkae Kwa kutulia
 
Aisee hapa kijiweni wakati wangu unazidi kuwa mgumu, ngoja nipotee kwa muda maana nilitoa utabiri kuwa mpaka Disemba 2024 Israel itakuwa imefutwa kwenye uso wa dunia

1000012653.gif
 
Allah Yarhamo Muislam kufa lazima awake akilini ni second, huyo ni Mwanaume tatizo la Israel anadhani kila akiuwa kiongozi wa Hezbullah ndio kashinda asubiri ambaye atakuja ni koboko kuliko Nasurlah.

Israel na US wana watu wao wameisha wanunua ndio wanawapa infomation.

Any way Nasurlah alikuwa hataki kuwauwa civilian wa Israel huyu anaye kuja je atakuwa kama Yeye.

Seif Din ni kiboka lakini wengine wanasema na yeye alikuwepo kwenye huo mkutano.
Siyo kuwanunua watu, ukweli ni kwamba hayo makundi yote ya kigaidi ya Iran, yanachukiwa sana na serikali za nchi nyingi za kiarabu. Hata serikali ya Lebanon haiwataki,ila wanashindwa kuyaondoa kwa sababu ya nguvu ya Iran. Serikali ya Lebanon na nchi nyingi za kiarabu watakuwa wanashukuru na kufurahia maana Hezbollah, Hamas, Houthis ni threat kwa serikali zao. Iran inataka kusimikaserikali za kishia vibaraka wa Iran kwenye nchi zote za kiarabu
 
Allah Yarhamo Muislam kufa lazima awake akilini ni second, huyo ni Mwanaume tatizo la Israel anadhani kila akiuwa kiongozi wa Hezbullah ndio kashinda asubiri ambaye atakuja ni koboko kuliko Nasurlah.

Israel na US wana watu wao wameisha wanunua ndio wanawapa infomation.

Any way Nasurlah alikuwa hataki kuwauwa civilian wa Israel huyu anaye kuja je atakuwa kama Yeye.

Seif Din ni kiboka lakini wengine wanasema na yeye alikuwepo kwenye huo mkutano.
Kila mwanadamu anajua kufa kupo na hajialishi unaamini au huamini maandiko fulani.
Huhitaji kuwa dini fulani kujua utakufa. Wayahudi waendelee na mbinu ya kuwatoa hao viongozi wanaowaingiza raia wasio na hatia kwenye migogoro ya hovyo.
 
Bunker buster bombs imemaliza kabisa Makao Makuu ya Hezbollaah na kufanya majivu, IDF said Nasrallah body will not be seen, sbb itakuwa umegeuka majivu na mavumbi huko ardhini, aiseee
 
Shika adabu zako wewe Allah akita kuiteketeza hio Israel ni second tu. Usidhani kila Firauni anateketezwa na Mungu pale pale. Anamuwacha note mapembe weee afu anamzimisha kama vile Firauni na wenzake walio jifanya ni miung Kama anavyo jifanya Israil na yeye taifa la miungu wenu 1=3 time yake haipo mbali yeye na huyo anaye jita super power US.

Firauni hakuteketezwa na Allah
Alitekezwa na Yahweh Mungu wa hayo mayahudi kasome vizuri maandiko yako.
 
K

Jaribu usome historiabyake. Ameabza kuongoza Hezbollah mwaka 1992, amewahi kutangazwa kuuawa na serikali ya Israel mara 7 katika miaka tofauti tofauti mpaka hapo Jana wamefanikiwa ikiwa ni mara ya 8. Amewahi kuongoza vita vingi sana baina ya Israel na Hezbollah ikiwemo vita vya ukombozi na mfanikio makubwa 2000 na vita pia vya 2006 ambapo Israel ilikaribia kuiteka Beirut.

Ni mtu ambae Israel na Marekani wamemuwinda kwa miaka 30.

Ni mtu pekee ambae wazi wazi na kwa vitendo alitangaza kua daima atawaunga mkono Palestine na kwa mwaka mzima tangu September 7 vita vianze baina ya HAMAS na Israel amekua akiendesha mashambulizi ya vituo vya kijeshi na miundo mbinu ya jeshi.

Israel ilikua imejiandaa kuingia vitani na Hezbollah na tayari moakani imeandaa vikosi vya kutosha vya vifaru kwa ajili ya kuanza mashambulizi ya ardhini baada ya kufanya mashambulizi ya ndege zaidi ya 2000 kwa muda wa wiki moja.

Alikua akifahamu ipo siku atakuawa kwani hata yeye alichukua uongozi kutoka kwa mtu ambae aliuawa na Israel.

Swali kuu- Hezbollah itakufa nguvu?!! Israel ameshinda rasmi vita dhidi ya Hezbollah na HAMAS?!!

Tusubirie ndani ya wiki 2.

Hezbollah haiwezi kufa hizi karibuni
 
Bunker buster bombs imemaliza kabisa Makao Makuu ya Hezbollaah na kufanya majivu, IDF said Nasrallah body will not be seen, sbb itakuwa umegeuka majivu na mavumbi huko ardhini, aiseee
Maziko yake yamekamilika
 
K

Jaribu usome historiabyake. Ameabza kuongoza Hezbollah mwaka 1992, amewahi kutangazwa kuuawa na serikali ya Israel mara 7 katika miaka tofauti tofauti mpaka hapo Jana wamefanikiwa ikiwa ni mara ya 8. Amewahi kuongoza vita vingi sana baina ya Israel na Hezbollah ikiwemo vita vya ukombozi na mfanikio makubwa 2000 na vita pia vya 2006 ambapo Israel ilikaribia kuiteka Beirut.

Ni mtu ambae Israel na Marekani wamemuwinda kwa miaka 30.

Ni mtu pekee ambae wazi wazi na kwa vitendo alitangaza kua daima atawaunga mkono Palestine na kwa mwaka mzima tangu September 7 vita vianze baina ya HAMAS na Israel amekua akiendesha mashambulizi ya vituo vya kijeshi na miundo mbinu ya jeshi.

Israel ilikua imejiandaa kuingia vitani na Hezbollah na tayari moakani imeandaa vikosi vya kutosha vya vifaru kwa ajili ya kuanza mashambulizi ya ardhini baada ya kufanya mashambulizi ya ndege zaidi ya 2000 kwa muda wa wiki moja.

Alikua akifahamu ipo siku atakuawa kwani hata yeye alichukua uongozi kutoka kwa mtu ambae aliuawa na Israel.

Swali kuu- Hezbollah itakufa nguvu?!! Israel ameshinda rasmi vita dhidi ya Hezbollah na HAMAS?!!

Tusubirie ndani ya wiki 2.

Nayajua yote hayo, ndio nikasema asingejiingiza kwenye hii kashkash yasingemkuta. Alianza kurusha mabomu baada ya Israel kushambuliwa na Hamas
 
Back
Top Bottom