Rasmi Hezbollah yathibitisha kuuawa kwa kiongozi wao Hassan Nasrallah

Punguza jazba ujibu swali?! Huyo allah mnayemuabudu ndio analeta magaidi yanayosababisha vifo vya maelfu ya watu wasiokua na hatia?
 
Ndo ujue Israel sio waarabu Sasa
Mkae Kwa kutulia
 
Siyo kuwanunua watu, ukweli ni kwamba hayo makundi yote ya kigaidi ya Iran, yanachukiwa sana na serikali za nchi nyingi za kiarabu. Hata serikali ya Lebanon haiwataki,ila wanashindwa kuyaondoa kwa sababu ya nguvu ya Iran. Serikali ya Lebanon na nchi nyingi za kiarabu watakuwa wanashukuru na kufurahia maana Hezbollah, Hamas, Houthis ni threat kwa serikali zao. Iran inataka kusimikaserikali za kishia vibaraka wa Iran kwenye nchi zote za kiarabu
 
Kila mwanadamu anajua kufa kupo na hajialishi unaamini au huamini maandiko fulani.
Huhitaji kuwa dini fulani kujua utakufa. Wayahudi waendelee na mbinu ya kuwatoa hao viongozi wanaowaingiza raia wasio na hatia kwenye migogoro ya hovyo.
 
Bunker buster bombs imemaliza kabisa Makao Makuu ya Hezbollaah na kufanya majivu, IDF said Nasrallah body will not be seen, sbb itakuwa umegeuka majivu na mavumbi huko ardhini, aiseee
 

Firauni hakuteketezwa na Allah
Alitekezwa na Yahweh Mungu wa hayo mayahudi kasome vizuri maandiko yako.
 

Hezbollah haiwezi kufa hizi karibuni
 
Bunker buster bombs imemaliza kabisa Makao Makuu ya Hezbollaah na kufanya majivu, IDF said Nasrallah body will not be seen, sbb itakuwa umegeuka majivu na mavumbi huko ardhini, aiseee
Maziko yake yamekamilika
 

Nayajua yote hayo, ndio nikasema asingejiingiza kwenye hii kashkash yasingemkuta. Alianza kurusha mabomu baada ya Israel kushambuliwa na Hamas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…