mswaki mbuyu JF-Expert Member Joined May 28, 2017 Posts 708 Reaction score 445 Sep 28, 2024 #81 octavier said: Sasa mazayuni walimua vp na mandevu yake yote hiyo?.... Click to expand... Ila bwana'ako Yesu si alikua na midevu?
octavier said: Sasa mazayuni walimua vp na mandevu yake yote hiyo?.... Click to expand... Ila bwana'ako Yesu si alikua na midevu?
Kididimo JF-Expert Member Joined Sep 20, 2016 Posts 4,153 Reaction score 3,800 Sep 28, 2024 #82 boaz mwalwayo said: Kuna mtu alisema kwamba akitoka kwa Hamas hawa jamaa watapata tabu sana Click to expand... Ni mimi, na wakimalizana na Hezeb wanaingia rasmi kwa mlengwa Iran.
boaz mwalwayo said: Kuna mtu alisema kwamba akitoka kwa Hamas hawa jamaa watapata tabu sana Click to expand... Ni mimi, na wakimalizana na Hezeb wanaingia rasmi kwa mlengwa Iran.
Tukundane JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 11,993 Reaction score 9,212 Sep 28, 2024 #83 Walivyosema wamemuondoa na kumpeleka sehemu salama kumbe mahali salama palikuwa ni mochwari.
Yoav Gallant JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 2,122 Reaction score 4,699 Sep 28, 2024 #84 Muda huu atakuwa ameshatafuna bikra kama 30
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Sep 28, 2024 #85 econonist said: Asingeingilia ugomvi yasingemkuta. Click to expand... Una maana Boni Yai, Lissu, Soka na wengine wangeufyata yasinge wafika?
econonist said: Asingeingilia ugomvi yasingemkuta. Click to expand... Una maana Boni Yai, Lissu, Soka na wengine wangeufyata yasinge wafika?