Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.

Na kama hamtaniona hapa JF nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema.

N:B Maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na JF ataona wivu. 😒😒

Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower


Hapa utarudi, na karibu sana, umetukimbia maana unalinda ndoa, ndoa ikivurugika karibu tuendelee kutiana moyo wahanga wa ndoa.
 
Maana mwezi wa pili kipindi Cha valentine alisema ameolewa na amebadili jina anaitwa Mwantumu Khalid Juma Kileo au nadanganya ndugu yangu Lamomy ?😁😁😁
Tatizo bi dada Ana maroroso kama yote...tunakuwa hatujamaliza kusoma hili lishakuja jingine 😅
 
Sio uage huku alafu ubakie huku JF, ondoka kabisa, ndoa itunze, sio ushindwe kutoa shimo vizuri kwa huyo mumeo, akichepuka malizaneni huko huko..!!
 
Back
Top Bottom