Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
-
- #61
WivuuuDogo mtafungua shule lini maana naona Bado mpo likizo, Yani upate Mme ndo uage humu, Bado kumbe una akili za kitoto, Bado unavalishwa nepi kumbe, watu ni maboss na ndoa zao wamo humu mpaka mawaziri hadi rais yumo humu wewe ni nani usiwemo humu eti kisa ndoa, kwani ndoa ndo nini wewe, acha mambo ya kitoto
Hahaha......... nitafurahi kutolewa out na Mjukuu πNakuja kukuchukua ukalee wajukuu
Eh ! KweliSasa unapakimbiaje sehemu iliyokupatia huyo mumeo?
EhHahaha......... nitafurahi kutolewa out na Mjukuu π
Siku Moja Moja muhimu kuja kuosha macho Mjini π€
Si unaolewa na ustaadh sie tunakuja tu kunywa chai na maandazimchangoo
NI kweli mie mke wa mtuππππ Da mau muongo kaamua kutuchangamsha ndugu zake
YAp ni mtu kama huyu ngoja nikupe picha yake ila ni mfano sio halisiSi unaolewa na ustaadh sie tunakuja tu kunywa chai na maandazi
Ndioo anataka sasa labda nitarudi baada ya yeye kushibaSasa ndoa na JF kuna mahusiano gani mrembo?Kwamba ukiolewa husalimii kaka zako na mashemeji..huyo mmeo mnashinda mnaangaliana machoni na kushikana mikono??
Kila la kheri na hongera
Nikuonee wivu wewe una nini Tako lenyewe hunaWivuuu
Hapo hakunaga mchango hapo unaloweza wewe tu kuandaaYAp ni mtu kama huyu ngoja nikupe picha yake ila ni mfano sio halisi
Eh unahasira siolewi kwenuNikuonee wivu wewe una nini Tako lenyewe huna
EH unakuja mikono mitupuHapo hakunaga mchango hapo unaloweza wewe tu kuandaa
Kwani hutaki kunitoa out Mjukuu?π
Utarudi tuu mwenyewe, aNimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.
Na kama hamtaniona hapa JF nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema.
N:B Maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na JF ataona wivu. ππ
Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
Na kanzu na kobaziEH unakuja mikono mitupu
Atarudi tena kwa ID nyingineHuna popote unapoenda, soon utarudi tu humu.
Hongera sana msalimie shem, ila hujasema km wa JF au nje ya JF ππNI kweli mie mke wa mtu