Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.

Na kama hamtaniona hapa JF nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema.

N:B Maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na JF ataona wivu. 😒😒

Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
Nakutakia heri sana sana.

Tupo hapa tunakusubiri
 
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.

Na kama hamtaniona hapa JF nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema.

N:B Maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na JF ataona wivu. 😒😒

Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
Sasa itakuwaje mbona na mimi nilikuwa namalizia kukujengea kakoteji Kigamboni! So soon hivyo.
 
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa .

Na kama hamtaniona hapa jf nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema .
N:B maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na jf ataona wivu. [emoji19][emoji19]

Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
Unatatizo la afya ya akili mume ajipange
 
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.

Na kama hamtaniona hapa JF nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema.

N:B Maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na JF ataona wivu. [emoji19][emoji19]

Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
Switch tu ID nyingine, mambo yasiwe mengi[emoji23]
 
Back
Top Bottom