Rasmi; Iran yasalimu amri kwa Marekani, yakubali mazungumzo huko Oman

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Ikumbukwe kuwa baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuiambia Iran kuwa itapigwa kipigo cha mbwa koko kama haitakubali mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani. Mara moja Rais wa Iran alitoka hadharani kupinga wito huo baada ya siku moja kiongozi wa Mapinduzi wa Iran Ayatollah Khamanei naye Ali pinga kwa nguvu zote kuwa Iran haiwezi kulazimishwa kufanya mazungumzo na Marekani hivyo Iran haitaweza kushiriki mkutano wowote na Marekani.
Wakati wa ziara ya mbabe na ki dume wa Mashariki ya kati na Uajemi Mwamba waziri Mkuu wa Israel Mwamba BENJAMIN NETANYAHU huko Marekani Trump alitangaza mkutano na Iran hazikupita siku Iran kaingia kwenye MFUMO na sasa hivi wajumbe wake tayari wako Oman tayari kwa mkutano huo.
Kwenye video ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Araqchi na msafara wa Iran nchini Oman kabla ya mazungumzo na Marekani. Kwa hiyo IRAN WAMEKULA MATAPISHI YAO WENYEWE!!
Trump alisema kama mazungumzo hayo yakishindikana basi kipondo kitaanzia hapo.

View: https://x.com/iiamguri9/status/1909666312726491536?s=61
 
Attachments

  • IMG_5338.mp4
    3.2 MB
Ikumbukwe kuwa baada ya Rais wa Marekani Donald Trump ukiambiwa Iran kuwa itapigwa cha mbwa koko kama haitakubali mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani. Kwa mw em we nyingi Rais wa Iran alitoka hadharani kupiga wito huo baada ya siku moja kiongozi wa Mapinduzi wa Iran Ayatollah Khamanei naye Ali pinga kwa nguvu zote kuwa Iran haiwezi kulazimishwa kufanya mazungumzo na Marekani hivyo Iran haitaweza ku Shiri kim kuta o wowote na Marekani.
Wakati wa ziara ya mbabe na ki dumę wa Mashariki ya kati na Uajemi Mwamba waziri Mkuu wa Israel Mwamba BENJAMIN NETANYAHU Trump alitangaza mkutano na Iran hazikupita siku Iran laiku Ali na sasa hivi waja be wake tayari wako Oman tayari kwa mkutano huo.
Kwenye video ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Araqchi na msafara wa Iran nchini Oman kabla ya mazungumzo na Marekani. Kwa hiyo IRAN WAMEKULA MATAPISHI YAO WENYEWE!!
Trump alisema kama mazungumzo hayo yakishindikana basi kipondo kitaanzia hapo.

View: https://x.com/iiamguri9/status/1909666312726491536?s=61

Hebu fanya proof reading kwanza. Maana hiki ulichoandika kueleweka ni ngumu
 
20241014_035749.jpg
 
Amani Kwa Wote Pia Dunia Inatakiwa Kuwa Sehemu Nzuri Ya Kuishi

Vita Ni Mbaya Sana Kaeni Kwenye Meza Ya Duara Mzungumze Yaishe
 
Bila shaka wewe ni Mfuga Midevu na Majini wewe hutaweza kuelewa wengine watanielewa tu. Jitahidi kidogo kupanua ubongo wako unaweza kuelewa. Tatizo ni ujinga Unakusumbua nimetoa maelezo na kiambatanisho nikaweka video pia ipo lakini bado umejitoa ufahamu nakushauri anza kusoma upya anangalia na viambatanisho uje tena uniulize nikutoe tongotongo
 
Chief, upo shallow mno. Hauwezi kuona zaidi ya unachoamini.

Maandishi yako kuna sehemu yapo nusu, kuna sehemu hakuna kinachounganisha kati ya neno la kwanza na linalofuata. Ndiyo sababu nikaandika vile.

Mimi ni mLutheran. Nilipata kipaimara 2005 kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama. Baba yangu ni mzee wa Kanisa la KKKT Usharika wa Ufwala.

Acha ujinga
 
Weh mwehu, USA amekubaliana na hizo demands za Iran!?

Iran ametoa masharti ya kukubali kufanya mazungumzo na USA.
Au una link nyingine ya hii taarifa yako tofauti na hii uliyoiweka hapa?
Tupatie wewe ambayo wewe unasema Marekani imekubaliana na demands za Iran!!. Kwa taarifa yako Marekani hajakubaliana na Iran chochote imempiga mkwara tu akaingia kwenye MFUMO na leo jioni saa 11 kikao kinaanza.
 
Chief, upo shallow mno. Hauwezi kuona zaidi ya unachoamini.

Maandishi yako kuna sehemu yapo nusu, kuna sehemu hakuna kinachounganisha kati ya neno la kwanza na linalofuata. Ndiyo sababu nikaandika vile.

Mimi ni mLutheran. Nilipata kipaimara 2005 kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama. Baba yangu ni mzee wa Kanisa la KKKT Usharika wa Ufwala.

Acha ujinga
Acha ujinga nani kakuuliza dini yako? Baba yako mimi ananihusu vipi na cheo chake? Acha ujinga kasome tena utaelewa!!!
 
Nani kaanza kuleta mambo ya dini?

Kitu chepesi kama proof reading huwezi unakimbilia kudai watu wanafuga ndevu na majini na matusi.

Mimi hata ukiandika ujinga nitakua interested nao kuusoma. Sasa nasoma huu upuuzi naona hauna mantiki nakuambia urekebishe ili nirudie tena unakimbilia kutukana
 
Wapi nilipotukana? Na wapi nilipoleta mambo ya dini? Acha ujinga
 
Back
Top Bottom