Ikumbukwe kuwa baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuiambia Iran kuwa itapigwa kipigo cha mbwa koko kama haitakubali mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani. Mara moja Rais wa Iran alitoka hadharani kupinga wito huo baada ya siku moja kiongozi wa Mapinduzi wa Iran Ayatollah Khamanei naye Ali pinga kwa nguvu zote kuwa Iran haiwezi kulazimishwa kufanya mazungumzo na Marekani hivyo Iran haitaweza kushiriki mkutano wowote na Marekani.
Wakati wa ziara ya mbabe na ki dume wa Mashariki ya kati na Uajemi Mwamba waziri Mkuu wa Israel Mwamba BENJAMIN NETANYAHU huko Marekani Trump alitangaza mkutano na Iran hazikupita siku Iran kaingia kwenye MFUMO na sasa hivi wajumbe wake tayari wako Oman tayari kwa mkutano huo.
Kwenye video ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Araqchi na msafara wa Iran nchini Oman kabla ya mazungumzo na Marekani. Kwa hiyo IRAN WAMEKULA MATAPISHI YAO WENYEWE!!
Trump alisema kama mazungumzo hayo yakishindikana basi kipondo kitaanzia hapo.
View: https://x.com/iiamguri9/status/1909666312726491536?s=61