Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Mashoga mnafikiria ushoga tu sa zote.Kama Trump kamwita Ayatollah Khamanei “ My dear “ basi tusubiri arusi muda si mrefu!!! Huyo lazima Trump atamuoa tu!!!!
Mashoga mnafikiria ushoga tu sa zote.Kama Trump kamwita Ayatollah Khamanei “ My dear “ basi tusubiri arusi muda si mrefu!!! Huyo lazima Trump atamuoa tu!!!!
Kuna dharau kama hi Trump kamdhalilisha Shetanyahu kama vile Zelenskyy
View: https://youtu.be/ahAE1NoZMcg?si=VQpztqM-Ey6x-j8N
Kimombo (mtandao X)na Kiswahili (Mtandao Jf)lugha gongana.Hebu fanya proof reading kwanza. Maana hiki ulichoandika kueleweka ni ngumu
Ikumbukwe kuwa baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuiambia Iran kuwa itapigwa kipigo cha mbwa koko kama haitakubali mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani. Mara moja Rais wa Iran alitoka hadharani kupinga wito huo baada ya siku moja kiongozi wa Mapinduzi wa Iran Ayatollah Khamanei naye Ali pinga kwa nguvu zote kuwa Iran haiwezi kulazimishwa kufanya mazungumzo na Marekani hivyo Iran haitaweza kushiriki mkutano wowote na Marekani.
Wakati wa ziara ya mbabe na ki dume wa Mashariki ya kati na Uajemi Mwamba waziri Mkuu wa Israel Mwamba BENJAMIN NETANYAHU huko Marekani Trump alitangaza mkutano na Iran hazikupita siku Iran kaingia kwenye MFUMO na sasa hivi wajumbe wake tayari wako Oman tayari kwa mkutano huo.
Kwenye video ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Araqchi na msafara wa Iran nchini Oman kabla ya mazungumzo na Marekani. Kwa hiyo IRAN WAMEKULA MATAPISHI YAO WENYEWE!!
Trump alisema kama mazungumzo hayo yakishindikana basi kipondo kitaanzia hapo.
View: https://x.com/iiamguri9/status/1909666312726491536?s=61
Sio kivile. Hicho ni Made locally under field conditions. Vinatengenezwa na akina mama vijijini ambao hawaujui ugaidi unaoendelea hapo.Kwahy kibarakashee tuu ndo made in Ugaidini 😂
Wamama wa huko Middle East wanajua hayoSio kivile. Hicho ni Made locally under field conditions. Vinatengenezwa na akina mama vijijini ambao hawaujui ugaidi unaoendelea hapo.
Hawajui aisee. Kama wangelijua mustakabali wa hali yao kimaisha ya baadaye ngoma itakapoanza; wangelitafuta biashara nyingine wawaache hao magaidi waende na mavipara yao hivo hivo hadharani kumchokoza Israeli.Wamama wa huko Middle East wanajua hayo
Naomba unijulishe nafanya Cheap politics kivipi? Unanionea huruma wewe unanijua umeshindwa kuwaonea huruma ndugu zako inakuwaje kwangu?Wazungu na waisrael wanakufanyaga nini? mbona kila siku unakuja cheap politics. Kuna kitu nyuma yako kinachokufanya ushabikie kiasi hiki. Nimeishia kukuonea huruma pole sanaa, unachofanya sio kawaida ni watu wachache sana, wenye ubavu kama wewe. Je! Watu wako wakaribu wanafaham hako katabia chako?
Sa ngapi utanza jijibu mwenye kwa majina yale 40 ukianzia jina la imeloa na mlaleo 😄Hiyo ni TAQIYYAH?