Rasmi; Iran yasalimu amri kwa Marekani, yakubali mazungumzo huko Oman

Uwezo anaoujenga USA baada ya kupiga chini misaada yote aliyokuwa akitoa na kujitoa kwenye mashirka mbali mbali aliyokuwa akiyadhamini mwenyewe, ujue ni hatari na nusu eeh!

Na power hiyo ndo atataka aitwe baba world
 
dogo kizungu chako cha class 5 au. Hebu soma vizuri hio message aliye muangukia mwenzake nani US au Iran.

Navyo ona Iran ndio kashinda, Trump alikuwa hataki mazungumzo na Iran sa kakubali, pia itabidi zile pesa za Iran waziwachie kwanza ili yanze mazungumzo, hio Iran kapata alicho kitaka.

Hapo Iran ndio katoa masharti
 
Unajitoa ufahamu mchana kweupe!!! wapi iliposema marekani itatoa pesa!? Na elewa mazungumzo yanaanza leo saa 11 jioni. Iran kasalimu amri kaingizwa kwenye mfumo bila kutaka!!
 
Unajitoa ufahamu mchana kweupe!!! wapi iliposema marekani itatoa pesa!? Na elewa mazungumzo yanaanza leo saa 11 jioni. Iran kasalimu amri kaingizwa kwenye mfumo bila kutaka!!
We rudia mwanzo ulicho post kwenye mada yako ndio utajiona vipi uko stupid.

Ulicho post kina sema Iran hawezi kukubali kuzungumza na US direct mpaa kwanza US awe na nia nzuri na pia US awachie pesa za Iran.

Kwa tarifa yako Iran na US wako Oman lakini hawaongei wao direct ni Oman ndio anaongea nao direct afu anafikisha ujumbe upande wa US na Iran.


Hichi ndicho ulicho post, afu hukifahamu.


View: https://x.com/iiamguri9/status/1909666312726491536?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1909666312726491536%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
 
Kweli lugha gongana!! Umezoea kusoma kiarabu lugha ya mayai utaiweza wapi?.
Mimi nilichofanya hapo ni kukuwekea kiambatanisho ambacho Iran ilikataa katakata kuwa na kikao na Marekani mpaka ipewe pesa zake na kisha nikakuwekea video Ujumbe wa Iran uliohudhuria kikao hicho huko Oman kuonyesha Iran imekula Matapishi yake yenyewe!!! Elewa nilichopost !!
 
Ayatollah alipokataa mwito wa Trump basi Trump akamuambia ukikataa namtuma Netanyahu na F16 Akisindikizwa na F-35 Modified by Israel... akaona mmh! njoo baba tuongee... Ayaaollah wenzake wamemuambia Trump hana haendekezi upashkuna.. domo kaya yeye ni vitendo tu na pia anawatamani mno na anaombea mkatae tu apate sababu.. nasikia mpango Marekani walitaka kabisa wauondoshe utawala wa Ayatollah... Kibabu kimestukia chezo.. kawahi yeye kufika Omani.. Kichekesho anadai eti wameikomoa Israel sababu walitaka sababu ili warushe makombora kwenye vinu vya Nuclear sasa jambo hilo haliwezekani hahahaha
 
Lugha tamu zaidi ni WAMEUFYATA.
 
Ayatollah sasa hivi Kakabwa kabałi ya kufa mtu hana pa kukimbilia Jumamosi ijayo lazima tu atatema ndoano!!
 

Attachments

  • IMG_2417.jpeg
    173.8 KB · Views: 19
Tatizo lako we ndio hujaelewa wapi Iran kakaa meza moja na US? Kule Oman wanaongea na Oman direct sio US, achana na story za Trump. Hakuna mazungumzo direct kati ya US na Iran.

Trump ndio aliwachana na mazungumzo sa karudi kubembeleza kuongea na Iran.

US hapati kitu kwa Iran bila kuachia pesa za Iran na bila kuwa na nia nzuri na Iran.

US hawezi pata chochote kwa kujidai atatumia nguvu.
 
We mrutheli koko unatuaribia uzi wetu kama ujaelewa achana nao sio kila kitu utaelewa na bichwa lako hilo gumu kama mkate wa bofflo.
 
We mrutheli koko unatuaribia uzi wetu kama ujaelewa achana nao sio kila kitu utaelewa na bichwa lako hilo gumu kama mkate wa bofflo.
Katika hiko nilichoandika ungeweza kuchagua kuangalia nilichomaanisha, au ukaamua kupita kama haujaelewa.

Na katika hivyo vyote wewe umeamua kuchagua kua mjinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…