Rasmi; Iran yasalimu amri kwa Marekani, yakubali mazungumzo huko Oman

Wazungu na waisrael wanakufanyaga nini? mbona kila siku unakuja cheap politics. Kuna kitu nyuma yako kinachokufanya ushabikie kiasi hiki. Nimeishia kukuonea huruma pole sanaa, unachofanya sio kawaida ni watu wachache sana, wenye ubavu kama wewe. Je! Watu wako wakaribu wanafaham hako katabia chako?
 
Wamama wa huko Middle East wanajua hayo
Hawajui aisee. Kama wangelijua mustakabali wa hali yao kimaisha ya baadaye ngoma itakapoanza; wangelitafuta biashara nyingine wawaache hao magaidi waende na mavipara yao hivo hivo hadharani kumchokoza Israeli.
 
Naomba unijulishe nafanya Cheap politics kivipi? Unanionea huruma wewe unanijua umeshindwa kuwaonea huruma ndugu zako inakuwaje kwangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…