Rasmi, Israel yathibitisha kumuua Hashem Saffiedine, kiongozi mpya wa Hezbollah aliyechaguliwa hivi karibuni

Hawajaanza leo mkuu na wala hawataishia hapo
Ila kwa kasi iliyopo (ya 5G) kwa sasa na jinsi inavyoongezeka, mmmhh; huenda itafika mahali (stage) wakosekane au wasiwepo watu wenye vigezo vinavyotosheleza kupewa nafasi hiyo.
 
Webabu Ritz Adiosamigo KIMEUMANA... JAMAA WAMEMLA KICHWA MWINGINE NA WANAMSUBIRIA MWINGINE
 
Nikiteuliwa mimi kuiongoza natangaza rasmi Hezbollah ni chama cha mpira, Hatuna tena ugomvi na mayahudi....tunaelekea nguvu zetu kwenye elimu, uchumi na teknolojia!

Kwenye sinema ya "You Don't Mess with Zohan"
IDF amekutana na Hamas mtaani USA baada ya wote kuchoshwa na uhasama wa nyumbani kwao mashariki ya kati usioisha ila bado bifu linaibuka upya...
 
Waw! Huo ni ubunifu mzuri sana wa kiwango cha lami. Kwa hilo 👆👆nadhani utapongezwa mno na jina lako kuingizwa kwenye kitabu cha Guinness Awards.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…