Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Na kama Mungu wa Waisrael ndiyo huyu wa kwenye Biblia basi nitatangaza rasmi kuacha na Biblia kama kitabu kitakatifu.Hivi Mungu wa Israel ni GAIDI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kama Mungu wa Waisrael ndiyo huyu wa kwenye Biblia basi nitatangaza rasmi kuacha na Biblia kama kitabu kitakatifu.Hivi Mungu wa Israel ni GAIDI?
Acha tu bwege weweNa kama Mungu wa Waisrael ndiyo huyu wa kwenye Biblia basi nitatangaza rasmi kuacha na Biblia kama kitabu kitakatifu.
🤣🤣😅😅😂Hii comment yako ngoja nimtag FaizaFoxy
Ila kwa kasi iliyopo (ya 5G) kwa sasa na jinsi inavyoongezeka, mmmhh; huenda itafika mahali (stage) wakosekane au wasiwepo watu wenye vigezo vinavyotosheleza kupewa nafasi hiyo.Hawajaanza leo mkuu na wala hawataishia hapo
Khe!? Yani unawahamasisha Hizbullah waendelee kujiachia wauawe kimasikhara?Hizbullah kamatieni hapo hapo
Webabu Ritz Adiosamigo KIMEUMANA... JAMAA WAMEMLA KICHWA MWINGINE NA WANAMSUBIRIA MWINGINEJeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limetangaza kumuua Hashem Safieddine, kiongozi wa kidini aliyekuwa anatajwa kuwa mrithi wa Hassan Nasrallah, kiongozi wa Hezbollah. Kifo chake kilitokea kwenye shambulio la anga lililofanyika karibu na Beirut, Lebanon, takriban wiki tatu zilizopita.
IDF ilithibitisha kwamba Safieddine aliuawa kwenye mashambulizi yaliyofanyika katika maeneo ya kusini mwa mji mkuu wa Lebanon, lakini Hezbollah, ambayo ni kundi lenye ushawishi mkubwa wa Waislamu wa Shia nchini, haijathibitisha taarifa hii.
Tangu wakati huo, maafisa wa Hezbollah wamesema kuwa walipoteza mawasiliano na Safieddine baada ya shambulio lililotokea karibu na uwanja wa ndege wa Beirut tarehe 4 Oktoba.
Soma pia:
Katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumanne, IDF ilisema kwamba Safieddine aliuawa pamoja na Ali Hussein Hazima, ambaye alielezwa kama kamanda wa Makao Makuu ya Ujasusi ya Hezbollah. IDF ilimshutumu Safieddine kwa kuongoza "mashambulio ya kigaidi dhidi ya taifa la Israel" kwa muda mrefu, pamoja na kushiriki katika "michakato ya maamuzi makubwa" ya Hezbollah.
Hezbollah, ambayo ina nguvu kubwa katika siasa na jamii za Lebanon, imetajwa kama kundi la kigaidi na Israel, Marekani, na Uingereza.
Hali hii inazidi kuonyesha mvutano wa muda mrefu kati ya Israel na Hezbollah, huku kukiwa na hofu ya kuongezeka kwa machafuko katika eneo hilo.
Source: CNN, The Guardian, Swarajya
Akajipatie bikra 72,,sema mwaka huu supplier wa mabikra kazi anayoNichukue nafasi hii kumpongeza
Hashem Saffiedine
Kwa kuuawa na jeshi la IDF
Itikia abee utaambiwa tatizo.Naam, umeniita?
Tatizo nini?
Yeah. Kazi inaendelea. Big-up IDF.
Yeah. Kazi inaendelea. Big-up IDF.
Exactly bro. Mafaili upande wa IN comming yamelundikana ilhali yale ya upande wa OUT going (Attended) ni machache mno.Akajipatie bikra 72,,sema mwaka huu supplier wa mabikra kazi anayo
Ndio manake.Duh! Kwa maana hiyo ukitaka kuwahi ahera mapema chukua nafasi ya juu kuongoza hezbollah
Na kwa uwingi wa mito ya pombe; inaelekea kunaweza kukawepo mafuriko.View attachment 3133346View attachment 3133348
Magaidi wa Ayatolah wanazidi kwenda kujizolea Bikra 72
Waw! Huo ni ubunifu mzuri sana wa kiwango cha lami. Kwa hilo 👆👆nadhani utapongezwa mno na jina lako kuingizwa kwenye kitabu cha Guinness Awards.Nikiteuliwa mimi kuiongoza natangaza rasmi Hezbollah ni chama cha mpira, Hatuna tena ugomvi na mayahudi....tunaelekea nguvu zetu kwenye elimu, uchumi na teknolojia!
Kwenye sinema ya "You Don't Mess with Zohan"
IDF amekutana na Hamas mtaani USA baada ya wote kuchoshwa na uhasama wa nyumbani kwao mashariki ya kati usioisha ila bado bifu linaibuka upya...
Allah atakuwa Bize kuwapikia Pombe Magaidi wote waliotangulizwa na US na IsraelNa kwa uwingi wa mito ya pombe; inaelekea kunaweza kukawepo mafuriko.