joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kwanini waitaje hata kama ni Mara moja?, kwanini wasitaje hizo nchi za wazungu japo hiyo Mara moja?, ni nchi gani kati ya hizo za wazungu ambazo PM anateuliwa na rais?.Wewe hauna hata uwezo wa akili wa kusoma ripoti.
Tanzania appears once, kwa ripoti ya kurasa zaidi ya 130.
''Establishing the position of PM, to be appointed by the president like Tanzania''.
That's the only reference to your LDC in the whole report.
And it's not something unique to your bongolala LDC. France, Russia, South Korea etc. also do the same.
It's also something that was discussed even before NARC came to power.
Sasa wajinga mkadhani walikaa chini kusoma katiba yenu ili watengeneze hii ripoti?
Rudi kazi kijana, mtaishi kwa umaskini hadi lini?
The fact that you have mentioned Tanzania even once in a very important document like this, signifies the importance of Tanzania to Kenya.
Hata kama Tanzania isingetanywa, lakini kitendo cha kufanya kama tunavyofanya Tanzania, ni dalili fika kwamba mnatuiga, kwasababu matamshi Mengi ya wanasiasa mbalimbali na wananchi wa Kenya wamekuwa wakiitaka serikali na viongozi wa Kenya kuiga mfano wa Tanzania