RASMI - Kenya ita Copy Katiba Ya Tanzania kwa Mfumo wa serikali

RASMI - Kenya ita Copy Katiba Ya Tanzania kwa Mfumo wa serikali

Wewe hauna hata uwezo wa akili wa kusoma ripoti.
Tanzania appears once, kwa ripoti ya kurasa zaidi ya 130.

''Establishing the position of PM, to be appointed by the president like Tanzania''.

That's the only reference to your LDC in the whole report.

And it's not something unique to your bongolala LDC. France, Russia, South Korea etc. also do the same.
It's also something that was discussed even before NARC came to power.

Sasa wajinga mkadhani walikaa chini kusoma katiba yenu ili watengeneze hii ripoti?

Rudi kazi kijana, mtaishi kwa umaskini hadi lini?
Kwanini waitaje hata kama ni Mara moja?, kwanini wasitaje hizo nchi za wazungu japo hiyo Mara moja?, ni nchi gani kati ya hizo za wazungu ambazo PM anateuliwa na rais?.

The fact that you have mentioned Tanzania even once in a very important document like this, signifies the importance of Tanzania to Kenya.

Hata kama Tanzania isingetanywa, lakini kitendo cha kufanya kama tunavyofanya Tanzania, ni dalili fika kwamba mnatuiga, kwasababu matamshi Mengi ya wanasiasa mbalimbali na wananchi wa Kenya wamekuwa wakiitaka serikali na viongozi wa Kenya kuiga mfano wa Tanzania
 
Hvyo vitu vyote vilikuwepo...confused danzagiza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikwete ndiye aliyekuja kuanzisha mfumo wa PM wakati mlipopigana mwaka 2008, kwa ujinga wenu na kutokua na akili mkauacha, sasa mnarudi tena baada ya kugundua kwamba bila mawazo ya watanzania hamuwezi kusonga mbele
 
Tanzania nayo ina katiba[emoji1787][emoji1787]
Ndio sababu hatuna Ukabila wala rushwa, hakuna mtu aliyetwaa ardhi ya mtu, hatuna pengo kubwa kati ya masikini na tajiri, hizo zote ni kwasababu tuna Katiba nzuri inayowajali raia wake, sio inayojali matajiri na wanasiasa.
 
Ni ukweli ulio wazi japo ni ngumu kukubali, nao kwamba Kenya imeiga Tanzania katika haya mabadiliko yanayopendekezwa. Hivi kwanini unapinga wakati wajumbe wa kamati walioandaa hiyo " Document" wameitaja Tanzania kama nchi iliyotumika kama " reference? ".

Ninarudia tena, wivu usikufanye ukashindwa kuiga mambo mazuri ya jirani yako. Kenya ni " Failed" state kwasababu ya kukosekana mifumo bora ya uongozi.

Kenya ni "Failed state" kwasababu ya viongozi wenu kutojua nini wabachokifanya, kila siku mnageuza mifumo ya uongozi, na bado hampati ufumbuzi wa matatizo yenu. Nafasi ya Waziri mkuu alikuja kuwashauri Kikwete baada ya kuchinjana, akapewa Raila Odinga, baada ya miaka 5 mkaiondoa, miaka kumi baadae mnairudisha, swali la kujiuliza, mlitumia vigezo gani kufuta nafasi ya Waziri mkuu, na sasa hivi mnatumia vigezo gani kuirudisha?, ninyi kweli mumechanganyikiwa, "Typical Failed state".
the documents is now officially out, can you show us, by highlighting, where Tanzania has been mentioned in that report
 
Ndio sababu hatuna Ukabila wala rushwa, hakuna mtu aliyetwaa ardhi ya mtu, hatuna pengo kubwa kati ya masikini na tajiri, hizo zote ni kwasababu tuna Katiba nzuri inayowajali raia wake, sio inayojali matajiri na wanasiasa.
Rudia tena[emoji1787][emoji1787]
 
Wewe hilo la kwamba Raila alitaka powerful PM umelipata wapi?, kwasababu Raila sasa hivi hafikirii tena kuwa PM, yeye anafikiria kuwa rais, Uhuru Kenyatta ndiye kwa sasa anafikiria kuwa rais, hiyo ya Powerful PM ilikua na baada ya PEV 2007, "update your brain please"
Ulikutana na Raila Na Uhuru wapi wakakuambia haya yote?
 
Kikwete ndiye aliyekuja kuanzisha mfumo wa PM wakati mlipopigana mwaka 2008, kwa ujinga wenu na kutokua na akili mkauacha, sasa mnarudi tena baada ya kugundua kwamba bila mawazo ya watanzania hamuwezi kusonga mbele
Unajua pm wa kwanza kenya alikua nani!!
Punguza hasira please
 
Wewe hilo la kwamba Raila alitaka powerful PM umelipata wapi?, kwasababu Raila sasa hivi hafikirii tena kuwa PM, yeye anafikiria kuwa rais, Uhuru Kenyatta ndiye kwa sasa anafikiria kuwa rais, hiyo ya Powerful PM ilikua na baada ya PEV 2007, "update your brain please"

You should learn to answer questions directed to you.
Mkikuyu akili chafu was referring to the original MOU between Kibaki and Raila.

Raila alitaka PM powerful.
 
Kwanini waitaje hata kama ni Mara moja?, kwanini wasitaje hizo nchi za wazungu japo hiyo Mara moja?, ni nchi gani kati ya hizo za wazungu ambazo PM anateuliwa na rais?.

The fact that you have mentioned Tanzania even once in a very important document like this, signifies the importance of Tanzania to Kenya.

Hata kama Tanzania isingetanywa, lakini kitendo cha kufanya kama tunavyofanya Tanzania, ni dalili fika kwamba mnatuiga, kwasababu matamshi Mengi ya wanasiasa mbalimbali na wananchi wa Kenya wamekuwa wakiitaka serikali na viongozi wa Kenya kuiga mfano wa Tanzania

Tanzania haijatajwa hata mara moja. Enda usome ripoti, kama utaelewa kingereza.

Nimepitia official document yote, 156 pages, hakuna hata jina Tanzania. 😂 😂 😂
 
Tanzania haijatajwa hata mara moja. Enda usome ripoti, kama utaelewa kingereza.

Nimepitia official document yote, 156 pages, hakuna hata jina Tanzania. 😂 😂 😂
How do you expect a danganyikan to comprehend a document written in English?
 
Tanzania haijatajwa hata mara moja. Enda usome ripoti, kama utaelewa kingereza.Nimepitia official document yote, 156 pages, hakuna hata jina Tanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23] Wameingia mafichoni. Wabongo bana, huu mchezo wa porojo na propaganda wanaupenda sana.
 
Nangoja kuona mleta mada akituonesha ni wapi haswa walipotaja Tz kwenye hiyo ripoti ya BBI.
Mm nipiwaambia wakenya wasubili mwakani sasa haya mambo ya BBI yanakuja Kwa sababu wakikuyu wameanza kutambua mzimu wa tz unaweza kuwa kweli mambo yakawa si mambo mwakani na 2022 hivyo wanaanza kujipanga mapema
 
.... tutasubiLi mwakani Mkuu. Umesema 2022?
 
Wakuu,
Ripoti iliyo tarajiwa na wakenya baada ya salamu za heri kati ya Odinga na Kenyatta ipo tayari.

Japo sina riporti mkononi, (Inatolewa kesho kwa umma) habari za leo za Citizen TV zimesema bayana kwamba Kenya sasa itachukua mfumo wa katiba ya Tanzania.

Vyeo vya juu ni Rais, Naibu wake na Waziri mkuu ambaye atachaguliwa na Rais.
Riporti kamili na nukuu za mahali kamati ya mabadiliko ilipo taja Tanzania nita update uzi huu kesho.

Laleni salama..
MUNGU AIBARIKI TANZANIA, MUNGU AMUBARIKI NYERERE (Muasisi wa Katiba ya JMT 1977 - Akili kubwa)
Ipi ile ya warioba au hii ya 77 au ya Zanziabr
 
Back
Top Bottom